Wake kuleta watoto wa njee ya ndoa katika familia zao

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Wanawake wengi sana pindi akianza mahusiano, akimkuta mwanaume ana mtoto tayari wanakuwa awana maneno sana. Wengi wao wanakubaliana na hali ya mambo huku wakiwa wanatoa tahadhari kwamba ukianza kuishi na mimi then uniletee mtoto sitokubali na sitokuelewa patawaka moto wa tiper.

Leo nimemsikia mdada moja akiwa anapiga umbea na shostita wake. Yule D (Mwanaume wa njee) nampenda sana, tumetoka mbali sana.
Hii mimba niliyo nayo ni yake. Shostita wake akamuuliza vipi mumeo hana tatizo. Tatizo wapi shosti, anajua mimba ya kwake na anavyo nijali usipime kila saa anauliza mtoto anacheza mara ashike tumbo etc etc kitanda akizahi aramu shosti.

Nikajiuliza, mbona wanawake awawakubali watoto waletwao kutoka njee ya ndoa ili hali wengi wao wanaleta watoto wa njee katika familia zao.

Je hii ni haki?????
 
Nisicho penda kuhusu wanawake ni hili hapa dah! yani wana roho mbaya mim nacheka na kutabasamu kumbe mtoto wa mwenzangu anakula jasho langu, wakati baba yake yupo na mama yake anamjua, ila wanasema unaweza kuwa na wa kwako asikufae akakufaa wa mwenzako, kwhyo muda mwengine inabidi uwe mpole mwachie mungu na mipango yake..
 
halafu eti watu wanashaurigi eti mambo ya mapenzi usiingilie, ndio maana maovu yanazidi tu katika familia zetu, ilitakiwa jambo hili apelekewe mumewe moja kwa moja, ili afahamu na achukue hatua mapema kuliko mtu anakaa miaka kibao akilea mtoto asiye wake bila kujua.
 
hapo ndo linakuja swala la watoto kuoana mtu na dada yake bila kujua wanakutana vyuoni au mashulen au kazin na kupendana.kisa mama alificha ukwel wa baba halisi wa mtoto.mpaka uje kujulikana wameshagegedana mpaka mwisho.wamama semeni ukweli jamani.
 
itakuwaje siku baba mzazi wa mtoto akifaliki mama atauficha ukwel na mtoto kukua bila kumjua baba halisi.au baba mlez akifalik je mama atamwambia ukwel mwanae juu ya baba yake..na vip kuhusu mali za huyo mtoto za urithi zitakuwa za baba mlez au mzazi.
 
Hili suala linachanganya kweli!

Mwisho wa siku baba wa kambo na baba original watakuja kushikana mashati!

Mimi naona ni bora kama baba wa kwanza bado anaishi, basi mtoto aachwe kwake na ahudumiwe kila kitu na huyo mzaziwe!

Ila huku nako ajulikane tu.... Dah, bado inanichanganya tena!
 
tulieni nyie

Ukiambia mtoto wako ni wako

Hata huyo mwanamke mtoto ni wa mumewe tu....
 
Back
Top Bottom