wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Nimeshangazwa na taarifa ya Kadhi Mkuu kule Zenji kuwa zaidi ya asilimia 70 ya kesi za talaka ni wake wakidai walimwe talaka tatu na waume zao baada ya kuchoshwa na vitendo vya unyanywasaji, kutelekezwa na kudhalilishwa na waume zao................katika makala hii ya habari leo isomekayo kama.............Utoaji talaka wakithiri Zanzibar inathibitisha ya kuwa ndoa zimeparanganyika sana kule visiwani kama huku bara kutokana na waume kushindwa kubeba majukumu yao........................hatujui kwa kiasi gani na hao wake wameshindwa kubeba majukumu yao hususani la utii kwa waumme zao hata kusababisha kujikuta wanapata mateso makubwa kwa kisa "wameolewa"....................
 
tatizo la wanawake wa kiislamu ...
yupo ndani anatafuta mchumba...
akishapata mchumba...anadai talaka anaenda kuolewa zake...
mtu mmoja nguzo tano...loh AshaDii samahani my dia
 
Last edited by a moderator:
tatizo la wanawake wa kiislamu ...
yupo ndani anatafuta mchumba...
akishapata mchumba...anadai talaka anaenda kuolewa zake...
mtu mmoja nguzo tano...loh AshaDii samahani my dia

Smile mie hiyo avatar inanifanya niikodolee macho hata nisiweze kutafakari unachosema...................it is quite a distraction, at least to me personally...................
 
Hakuna mwanamke ambaye yupo tayari kuishi na waluka ukuta.:nono::nono::nono::nono:

kwa hiyo [MENTION]Elan[/MENTION] tatizo ni kurukwa ukuta au waume zao hurukwa ukuta?
 
Mwanamke wa Zanzibar huheshimika zaidi kwa idadi ya 'vyuo' alivyonavyo

CAMARADERIE..............hivi nako zenji kuna vyuo vya akina mama au ni hivi vya kawaida tu?
 
Last edited by a moderator:
Ni haki yao. . . acha waitumie waonavyo inafaa.

Lizzy haki yao kama ni kuachika na wajibu wao ni upi?..........................hakuna haki bila ya wajibu, you know that.......
 
Last edited by a moderator:
Ndoa za mkeka .....nguzo za ndoa kukamilika ----awepo :kwa walii, mashahidi wawili, mke na mume, kukubali na kuitikia.ina maana ukitimiza haya tuu hiyo ni ndoa halali
sasa swali linakuja hizi ndoa zipo Zanzibar kwa asilimia ngapi ? na zinazodumu hata kwa mwaka ni ngapi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom