Wakazi wa wilaya ya Masasi,mbunge chaguo lenu 2020 si mwingine bali ndugu Abdulwahid Ibrahim Khatau,picha chini...

Pamoja na kuwa chuachua perfomance yake hairidhishi masasi ila kwa namna ulivomuelezea huyo mtia nia wako, basi chuachua ataongoza milele masasi
 
Yupo chama gani Kwanza? Yule mbunge wa sasa hivi Chuachua ovyo sana alikua MTU nzuri mwenye kujali watu,nakumbuka alinifundishaga tuition nipo form 3 somo la kiswahili na tunaishi mtaa mmoja,baada ya kuingia CCM na kupata ubunge kawa mjumbe ndio kila kitu ndio ovyo sana MaCCM
Kimsingi wana masasi hatuchaguliwi mtu pia hatuna historia ya kuwachagua watu wa dizaini hiyo labda aende kwa wamakonde sio kwa wamakua
 
Back
Top Bottom