Wakazi wa wilaya ya Masasi,mbunge chaguo lenu 2020 si mwingine bali ndugu Abdulwahid Ibrahim Khatau,picha chini...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Huyu ni mtoto wa meneja wa zamani wa NBC Urambo na mzawa wa Masasi,Ibrahim Salumu Khatau na mama yake karani wa bank ya NBC Isike Tabora na baadae Urambo Bi.Stella Ezekiel,wote ni marehemu sasa

Pia ni ndugu na aliekuwa mkuu wa wilaya ya Lindi na baadae Mafia DrAhamed Khatau

Pia ni ndugu wa mkazi maarufu wa Masasi ndugu Kidevu

Ni msomi aliesomea shule ya msingi Mkomaindo Masasi na baadae chuo cha IFM akichukua kozi ya IT yaani computer,anajua maisha yote ya shida na raha na ni kipenzi cha wengi Urambo na hata mkoani Tabora na singida

Kwenye kampeni ikiwa mtampitisha nawahaidi ataandamana na nguli wa muziki wa bongo fleva na kughani mashairi Rayvan waweza msikiliza kwenye wimbo wa iyena akishirikiana na Diamond

Haji mnara msemaji wa timu ya Simba akiwa kwenye mahafali ktk shule ya Mwema pre school alisema kipaji chake ni mdomo hivyo mkimzuia mtaharibu ila mimi nasema kipaji changu ni kuwa na mwandiko mzuri Tanzania

Instagram:kaukwaju
 

Attachments

  • IMG_20180901_091711_130.jpg
    IMG_20180901_091711_130.jpg
    17.9 KB · Views: 122
Yupo chama gani Kwanza? Yule mbunge wa sasa hivi Chuachua ovyo sana alikua MTU nzuri mwenye kujali watu,nakumbuka alinifundishaga tuition nipo form 3 somo la kiswahili na tunaishi mtaa mmoja,baada ya kuingia CCM na kupata ubunge kawa mjumbe ndio kila kitu ndio ovyo sana MaCCM
 
Ana undugu gani na yule khatsu ambaye alikia diwani wa CUF kama sikosei..kule masasi.?
 
Maarufu Tabora halafu anaenda kugombea ubunge Masasi, halafu kuna kitu hukifahamu..Masasi ina majimbo ya uchaguzi matatu ila maelezo yako ni kama vile Masasi ni jimbo moja...bora uende ukagombee huko Uvinza.
 
Hakuna haja ya kuwa na Wabunge, jiulize wamefanya nin katka miaka 4 iliyopita? au ni kitu gani kililetwa na serikali wakakikataa?
 
Bwana Yesu ampiganie kwenye haya majukumu mapya mnamo mwaka 2020. nitamsindikiza siku ya kumuapisha
 
Imekuwa kama haya mabasi ya abiria yakishaua watu tu yanabadilisha jina yanaendeleza biashara kwa mgongo wa jina jingine tofauti.
 
Yupo chama gani Kwanza? Yule mbunge wa sasa hivi Chuachua ovyo sana alikua MTU nzuri mwenye kujali watu,nakumbuka alinifundishaga tuition nipo form 3 somo la kiswahili na tunaishi mtaa mmoja,baada ya kuingia CCM na kupata ubunge kawa mjumbe ndio kila kitu ndio ovyo sana MaCCM
Kiswahili unasoma tuition. Makubwa!!
 
Back
Top Bottom