Wakazi wa Ubungo haya makelele yanaisha sangapi?

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,972
6,605
Habari wana jamii?

Naona kelele nyingi usiku huu hadi nashindwa kulala,hivi kiserikali lipo vipi.

Au ni itikadi kali hawajaribiwi.

Wana Ubungo wataelewa wale wanaoishi Kashiramabimbi mtapata majibu tulieni.
 
Thread zingine ni mfu
Sasa wewe upo Lindi utaelewa vipi,mimi nimeweka wazi kuwa wa vijijini hawawezi kuelewa ila wa Ubungo wataelewa au hujui kusoma vizuri.

Haya leo usiku kucha kulikuwa na kelele za Waislam na sauti ilikuwa juu sana na siwezi kuelewa walikuwa wanafanya nini kwasababu hawatumii kiswahili.
 
Back
Top Bottom