ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,117
- 1,424
Nashindwa kuelewa kwanini ndani ya Dar es Salaam hii hii, viwango na ubora wa barabara unatofautiana sana, ukiangalia barabara zinazojengwa Kinondoni, zina ubora na muonekano mzuri sana, si sawa na barabara za Temeke (Ingawa zipo chache).
Hivi hawa wahandisi wa barabara za Temeke hawalioni hili?
Kwa mfano, barabara inayotoka Mtoni kwa Aziz Ally mpaka kwa sokota, haina finishing nzuri, haisafishwi, na ile road separation wameweka maguzo ya chuma ambayo mengi yashagongwa yamelala chini.
Barabara ya uwanja wa Taifa, haitamaniki.
Mitaa mingi sana haina lami na hakuna dalili ya kutiwa lami.
Temeke kota imekua sehemu ya hovyo kabisa, Waziri mkuu alitoa maagizo paboreshwe, mwezi wa pili sasa hivi hakuna kinachoendelea, bali pamegeuzwa sehemu ya magereji na kuchoma tairi mbovu kutoa wire.
Ni wakati sasa wa wanaTemeke kudai maendeleo ya barabara zetu ziwe bora.