Wakazi wa Temeke tunaimba tujengewe barabara kama za wilaya ya Kinondoni

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,116
1,422
Nashindwa kuelewa kwanini ndani ya Dar es Salaam hii hii, viwango na ubora wa barabara unatofautiana sana, ukiangalia barabara zinazojengwa Kinondoni, zina ubora na muonekano mzuri sana, si sawa na barabara za Temeke (Ingawa zipo chache).

Hivi hawa wahandisi wa barabara za Temeke hawalioni hili?

Kwa mfano, barabara inayotoka Mtoni kwa Aziz Ally mpaka kwa sokota, haina finishing nzuri, haisafishwi, na ile road separation wameweka maguzo ya chuma ambayo mengi yashagongwa yamelala chini.
Barabara ya uwanja wa Taifa, haitamaniki.
Mitaa mingi sana haina lami na hakuna dalili ya kutiwa lami.

Temeke kota imekua sehemu ya hovyo kabisa, Waziri mkuu alitoa maagizo paboreshwe, mwezi wa pili sasa hivi hakuna kinachoendelea, bali pamegeuzwa sehemu ya magereji na kuchoma tairi mbovu kutoa wire.

Ni wakati sasa wa wanaTemeke kudai maendeleo ya barabara zetu ziwe bora.
 
Kwa sababu Temeke Viongozi hawana makazi huko ndio mana kunaonekana kama ni sehemu ya Msumbuji..

Kiukweli Temeke inatakiwa kufanyiwa Renovations iko shaghalabaghla sana.maeneo kama tandika,Temeke mwisho,mtoni kwa azizi Ali,hadi mbagala yote hiyo iko hovyohovyo tu hakuna mipango miji.

Kile kilichofanyika Manzese kilipaswa kifanyike tandika or Temeke yenyewe,bomoa vijumba vyote vya hovyohovyo pandisha viberiti watakaotoka kwenye hizo nyumba zilizobomolewa wanakaa kwenye hizo flats Mpya.

Wananchi ngumu sana kujenga kwa kufuata mipango miji bila serikali kuingilia kati,siku zote mwananchi anatafuta unafuu wa maisha bila kuzingatia anajenga vipi.

Serikali zetu tangu awamu ya kwanza hadi sasa zililala ktk kuhakikisha watu wanajenga kwa kufuata mipango miji,na wakiendelea hivi nchi nzima itakuwa haina mvuto.kila siku tutakuwa tunawahamisha Machinga kwa madai wanafanya biashara maeneo yasiyo rasmi Ila kosa kubwa ni sisi wenyewe tunafumbia macho issue ya mipango miji.
 
Ni kweli kabisa.
 
Barabara kutoka zapata pale kwenye mataa kuelekea keko magurumbasi mpaka mgulani ni majanga makubwa, kuna mahandaki ya kufa mtu, sijawahi kuelewa kama Either Tanroad au Sijui Tarura inamaana hili hawajawahi kuliona?
 
Mheshimiwa Raia alitoa fedha kila be jimbo za ukarabati wa barabaz za mitaani na hasa kata ya mbagala ukitoa barabara za mradi wa dmdp,kuna hata ndogo tuliziorodhesha kwa matendo kata mbagala kuwapa tarura hadi leo kimya!!!
 
Mheshimiwa Rais alitoa fedha kila jimbo za ukarabati wa barabaza mitaani na hasa kata ya mbagala ukitoa barabara za mradi wa dmdp,kuna barabara ndogo tuliziorodhesha kwa mtendaji wa kata mbagala kuwapa tarura hadi leo kimya!!!
 
Nashindwa kuelewa kwanini ndani ya Dar es Salaam hii hii, viwango na ubora wa barabara unatofautiana sana, ukiangalia barabara zinazojengwa Kinondoni, zina ubora na muonekano mzuri sana, si sawa na barabara za Temeke (Ingawa zipo chache).
Hivi hawa wahandisi wa barabara za Temeke hawalioni hili?
Kwa mfano, barabara inayotoka Mtoni kwa Aziz Ally mpaka kwa sokota, haina finishing nzuri, haisafishwi, na ile road separation wameweka maguzo ya chuma ambayo mengi yashagongwa yamelala chini.
Barabara ya uwanja wa Taifa, haitamaniki.
Mitaa mingi sana haina lami na hakuna dalili ya kutiwa lami.

Temeke kota imekua sehemu ya hovyo kabisa, Waziri mkuu alitoa maagizo paboreshwe, mwezi wa pili sasa hivi hakuna kinachoendelea, bali pamegeuzwa sehemu ya magereji na kuchoma tairi mbovu kutoa wire.

Ni wakati sasa wa wanaTemeke kudai maendeleo ya barabara zetu ziwe bora.
Kitu ambacho Temeke, Mbagala, Buza ,Mtoni hamkijui ni kwamba mnaonewa wivu sana hasa kwa barabara za vitingojini.
Kule Mbezi Beach, Mweni, Salasala HAKUNA kabisa barabara za vitongojini za lami.
Hili linafanya foleni mbaya sana barabara kuu.
 
Mbona Temeke mna barabara nzuri sana, kuanzia Sokota, Usalama, Tandika, Kwa Aziz Ally hadi Mbagala, na wanajenga barabara ya mwendo kasi, hivi nyie watu wa Temeke mnajua barabara za wenzenu kweli? Hata Mbezi beach barabara za mitaani hawana nzuri kama za Temeke, Temeke ndio ina barabara nzuri za mitaani kuliko Wilaya karibu zote za Dar.
 
Temeke barabara zipo nyingi na nzuri , ila wakaazi wa Temeke tupo hovyo sana.
Tunaziharibu, na tunatupa taka miferejini. Magereji kila kona. Unaweza kukuta unaamka asubuhi kwenda kununua gazeti, unakuta bonge la Lorry limepaki mbele ya geti.
Zamani tulikuwa hatutaki upuuzi wakazi wa Temeke na tulikuwa wasafi kila jumapili wote tunakata michongoma na kusafisha viwanja.
Sasa hivi, hovyo kabisa.
 
Kuhusu barababa tmk iko vizuri kuliko wilaya nyingi za DSM,labda uzungumzie ucheleweshaji wa ukarabati pale zinapoharibaka kwa mfano barabara ya kutoka m/yanga kwenda kilakala imeanza kuharibika na sijaona hatua zozote zikichukuliwa kuboresha maeneo yaliyoharibika,lakini barabara nyingi hivi sasa hazifagiliwi kabisa na baadhi ya sehemu zimeanza kumezwa na mchanga.
mwanzoni tuliambiwa mwendazake alikuwa anabeba pesa zote na kuiacha manispaa nyeupe hivyo kushindwa kusafisha barabara,sasa Mungu kashatusaidia sasa sijui wanakwamia wapi.
 
Lakini standard ya barabara za Temeke sio nzuri kama za Kinondoni, ulipuaji ni mwingi, na hakuna kufuata sheria, utakuta Semi trailer na mzigo zinatumia barabara za mitaani.
 
Back
Top Bottom