Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

hadi wapate iyo sindano si atakua kajeruhi wengi hivi unajua nyati aki charge kichaa chake kinakuwaje wabongo bwana kila kitu mnafanya siasa hilo eneo lote lilikua mapito ya wanyama wala sio zamani sana ndio mana nazani mwaka juzi walionekana tembo mitaa ya mbezi temboni kwa mbele kule jamaa wa tanapa akaelezea vizuri kuwa binadamu wamejenga kwenye corridors za kupita wanyama
Chui nae alionekana salasala.
Hawamjui Mbogo , Jf imeboa aisee kila kitu siasa
 
Nyati naona wanarudi makazi yao ya zamani miaka ya nyuma madale kulikua na nyati na yupo Mzee mmoja aliwafuga hapo karibu na dawasco boko hata wanyama wakali pia inasemekana madale walikuepo sidhani kama wataishia kuja hawa ng'ombe mwitu tuu...
 
Inakuwaje Anti- robbery unit itumike? Mali asili walikuwa wapi? Huyo mnyama si jambazi na hakupaswa kupigwa risasi. Ni utaalamu wa Mali asili ungetumika na kumrudisha anakostahili. Hili ni doa jingine kubwa. Tunasomesha wataalamu wasiotumika wanapohitajika.

Hivi madale hakuna wale wamasai wenye sime kiunoni?
 
Kumuua yule nyati kumeniuma sana.....ni jike......automatically alipotea kutoka kwenye kundi.....alikuwa bado binti......
Kwa nini wasimswage akarudi porini.....?.....
Angekuwa wale mabazazi wanaofukuzwa kundini sawa......huyo alichanganyikiwa.......ki ukweli kaniuma.....
 
Unaijua madale?.
Kuna pori kubwa tu
Inatisha inawezekana mambo ya numba na ngaye za uchaguzi,huyo nyati sijui ametoka pori gani la akiba bila kuonekana,pori la karibu ni saadani ,sasa kutoka saadani hadi madale ina maana hapa kati kati hakuna aliyemuona? Na mara nyingi nyati hutembea kwa makundi possible bado kuna nyati wengine ukanda wa Madale.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!

Walifikiria ni TL kaja kivingine lakini safari hii wakasema hatufanyi makosa bali nikumpelekea kichwani tu
 
Sasa na wewe nyati mmoja anakufanya uwafokee watu.?.
Kuna nyati zaidi ya milioni hapa Tanzania acha watu wale
Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hili doa la uchaguzi kabisa. Mnyama pori anauawa kikatili si angepiga hata mguu kama mbinu ziliisha.
Tena jike ambaye angezaa nyati kadhaa.
Maliasili na wizara ashughulike na mpiga risasi
 
Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!
wewe mtaalam wa mtandaoni, nyati katinga kwenye makazi ya watu na ameshasababisha hasara na madhara kadhaa kwa mifugo, askari wa wanayamapori wana kambi gani dsm hapa!!!! si wanaishi porini kwenye wanyama huko??

igetokea ameua mtu, ungekuwa wakwanza kuuliza polisi wanaowahi mikutano ya tundu lissu walikuwa wapi mpaka anaua watu!!!!
 
Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!
Nyati utamkamata vipi?

Unavyodhani polisi wana risasi za usingizi?
 
Nilivyoona tu kuna Mnyama Pori kaonekana nikajua ufumbuzi pekee walionao Watu wetu ni kumuua.

Hivi hawa Maofisa wa Wanyama Pori huwa hawana kabisa mafunzo ya kukamata Wanyama walioingia kwenye makazi ya Watu?. yaani kuua iwe ni hatua ya mwisho?.
Umeambiwa maofisa wa wanyama pori au anti robbery ndio waliofanya hivyo

Soma habari kwa umakini
 
Back
Top Bottom