Wakazi wa Madale waliobomolewa kulipwa kwa amri ya Rais

hata mimi nimeisikia hiyo habari aisee.. nasikia kila mtu atakaejiandikisha atalipwa fidia milioni 8 kwa choo na nyumba milioni 15. na kwa wale waliobomolewa jangwani beach kina mchungaji ... aka dr .. nasikia watanunuliwa makasri ya kufa mtu Cape Town SA. Nasikia balozi wetu SA ndo kaambiwa awatafutie nyumba na mkuu akirudi tu anaizinisha malipo. NCHI HII BANA..
 
Back
Top Bottom