Wakazi wa kiteto kupambana na Wakulima kutoka nje ya Kiteto

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Wakazi wa wilayani Kiteto wametangaza hali ya hatari kwa wakulima wanaotoka nje ya wilaya hyo wanaobebwa na viongozi wa juu serikalini.Kwa mujibu wa taarifa ya habari za ITV saa mbili hii wamehamasishana kubeba silaha siku ya Mwisho ya serikali yakuwataka kuondoka kwenye maeneo yao.
 
Job Ndugai umeisikia hiyo?ccm kueneza ukabila,chuki ndio faida yake hiyo
 
mh yaani Wa Tz wenzao? tunaelekea wapi wa Tz?mapori yapo mengi kitetwatu wanaenda kuyanunua wanafyeka walime waongeze chakula wao wanapungukiwa nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom