Wakazi wa Kiomoni walia na kero ya vumbi la Kiwanda cha Chokaa Tanga

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Kiwanda tanga.png

WAKAZI wa Kijiji cha Kiomoni, nje kidogo ya Jiji la Tanga, wameiomba serikali kuingilia kati uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha kutengeneza chokaa cha Neelkanth.

Inaelezwa kwamba, kiwanda hicho kilichopo karibu na Mapango ya Amboni, kimekuwa kero kubwa kutokana na kutimua vumbi ambalo limekuwa na athari kubwa kiafya kwa wakazi wa kata za Kiomoni na Mzizima pamoja na maeneo yaliyopo jirani.

Soma hapa=> Wakazi wa Kiomoni walia na kero ya vumbi la Kiwanda cha Chokaa Tanga | Fikra Pevu
 
Hii kiwanda nafikiri(sins uhakika,kwa vile sio mtaalam wa afya)madhara yake yanafika mpaka Tanga mjini,kutokana na watu wengi kuwa na kikohozi na Mafia yasioisha.
Wataalam wanaohusika watufafanulie hili.
 
Back
Top Bottom