Wakazi wa Kinondoni Moscow hawafi kirahisi

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,829
Hakuna sehemu yenye watu wenye roho za paka, roho ngumu zisizokubali kufa kirahisi kama watu wa KINONDONI MOSCOW ...

huko watu hua hawafi kirahisi licha ya kuwa NI eneo lililo kithiri Kwa kuwa na wakazi wanaopata lishe duni , mazingira mabovu, ngono zembe, ushoga na kila aina ya malaana watu wake wameendelea kubaki vilevile miaka nenda rudi huku wakiwa na Hali Sawa za kimaisha.
Njaa ndio ugonjwa pekee unaowasumbua wazandiki hao toka kinobdoni Moscow

Wazee wa kino Moscow nawao hawako nyuma kila mmoja anajiita baharia wa zamani nao pia licha ya kushindia gongo nakulalia chang'aa hawakati ringi(kufa) kirahisi..!

Nasikia hadi COVID-19 imedunda Kwenu vyuma vya pua toka kinondoni Moscow.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom