Wakazi wa Dar wametakiwa kuvaa barakoa muda wote wakiwa kwenye msongamano

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,006
9,872
Wananchi wote wa mkoa wa Dar es salaam wanapaswa kuwa wamevaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano, wanawe na maji tiririka, wakisikia dalili zozote zinazofanana na dalili za Covid 19 wawahi hospitalini Kufanya vipimo" Amos Makala ,Rc Dar es salaam

———-

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala amewataka Wananchi wake kuvaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano

Pia, amewataka wanawe na maji tiririka ili kupambana na maambukizi ya #COVID19

Mkuu wa Mkoa amewataka Wananchi wanaposikia dalili zozote zinazofanana na dalili za COVID-19 kuwahi hospitalini ili kufanya vipimo
 
... asiyevaa atachukuliwa hatua gani? Hizi vague, general statements zisizo na enforcement measures hazina maana! Ni siasa zisizo na tija kwenye mambo mazito ya kitaifa.
 
Kiki No2 baada ya ile kutoa Chinga kufeli
Vinginevyo msimukee maneno kinywani, leta Chanzo
 
Wananchi wote wa mkoa wa Dar es salaam wanapaswa kuwa wamevaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano, wanawe na maji tiririka, wakisikia dalili zozote zinazofanana na dalili za Covid 19 wawahi hospitalini Kufanya vipimo" Amos Makala ,Rc Dar es salaam
chanzo cha barua yetu pendwa..!;)
 
Uamuzi mzuri. Kama wewe umechoka kuishi basi linda wenzio. Madhara ya kuficha data yanawafanya watu waone Corona haipo.
 
Back
Top Bottom