Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Jamaa hayupo tayari aondoke aache kipochi manyoya chake nyuma
Kwani siku zingine hua unacheka kwa uongo?Nimecheka kwa kweli
Like yangu nimeibonyeza kibahat mbaya eee nacheka uongoKwani siku zingine hua unacheka kwa uongo?
Rudi tena kwenye hiyo comment yangu uliyobonyeza "Like" kwa bahati mbaya ili safari hii ukabonyeza "unlike" kwa bahati nzuri.Like yangu nimeibonyeza kibahat mbaya eee nacheka uongo
Rudi tena kwenye hiyo comment yangu uliyobonyeza "Like" kwa bahati mbaya ili safari hii ukabonyeza "unlike" kwa bahati nzuri.