Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

Dawasa imechukuwa visima vyote vya jumuiya za watumiaji maji mitaani na wameingiza kwenye mtandao wa mabomba ya Dawasa kwa baadhi ya maeneo.
Maji ya Ruvu yakikatika wanafungulia ya visima, huenda hapo mtaa wenu au kata mna mradi wa visima au kisima cha maji wanaunganisha kwenye mtandao wao, ni ngumu kwa wewe kulijuwa hili kama siyo mdau wa ndani sanaa.
Mh..! ya kweli haya..
 
Mtaani kwetu maji yapo 24/7...umeme pia....na ni haya haya maji ya Dawasa (ya bomba).
Kuhusu umeme wewe na MD wa Tanesco sijui nani kati yenu anayejuwa zaidi?

IMG-20211104-WA0008.jpg


IMG-20211104-WA0009.jpg


IMG-20211104-WA0016.jpg
 
Dawasa imechukuwa visima vyote vya jumuiya za watumiaji maji mitaani na wameingiza kwenye mtandao wa mabomba ya Dawasa kwa baadhi ya maeneo.
Maji ya Ruvu yakikatika wanafungulia ya visima, huenda hapo mtaa wenu au kata mna mradi wa visima au kisima cha maji wanaunganisha kwenye mtandao wao, ni ngumu kwa wewe kulijuwa hili kama siyo mdau wa ndani sanaa.
Hahaha haya mkuu...kwa hiyo hayo maji ya kisima yanakuwa haya hya ya Bomba? Sio Mbaya Mungu aendelee kutusimamia tupate huduma muhimu za kibinadamu na kote ambapo kuna changamoto atatue
 
Hahaha haya mkuu...kwa hiyo hayo maji ya kisima yanakuwa haya hya ya Bomba? Sio Mbaya Mungu aendelee kutusimamia tupate huduma muhimu za kibinadamu na kote ambapo kuna changamoto atatue
Kuna visima vina maji mazuri kuliko hayo yanayotoka ruvu, hayo maji ya ruvu usipoyatreat vizuri ni vichekesho hutoamini, ndio maana maji lazima uçhemshe au ununuwe maji chupa, huko duniani hawachemshi maji, unachota kwenye bomba unakunywa.
 
Dah, jana nimelala bila umeme...Joto lake sasa...nway wacha wenye kuupiga mwingi waendelee kuupiga mwingi...hakuna marefu yasiokua na ncha.
 
Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme.

Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika.

Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji

Tumerudi enzi zile za Mzee Mwinyi, jiji lilikuwa na uhaba wa maji wa kufa mtu

Wakati hayo yakiendelea, umeme nao umekuwa bidhaa adimu.

Waziri wa Nishati, yeye anatoa majibu rahisi kwa suala nyeti, eti zamani umeme ulikuwa haukatiki kwa sababu watu waliogopa kukata umeme wasifukuzwe kazi. Sasa kwa nini ssa hivi umeme usipatikane?, hoja ya maintenance ni hoja mfu kwa sababu nchi nyingine zinafanya maintenence na umeme unaendelea kupatikana

CCM walitwambia katiba mpya siyo hitaji la msingi bali hitaji la msingi ni maji, Sasa hayo maji yako wapi?

Umeme uko wapi?
Sio Dar tu kwenye shida ya maji na umeme. Dodoma hii niwiki ya pili hakuna maji mpaka tumevikumbuka visima vya zamani. Umeme ndio usiseme unakatika kila siku.
 
BASI,TU KUWA NA ROHO MBAYA MTAANI..! HIVI NYUMBA KUMI ZA KUSHOTO NA KULIA ZA MTAA ZINASHINDWA KUCHIMBA KISIMA BINAFSI? MAISHA YAKAENDELEA..! NAGUSIA KWA WANAOJIWEZA KIDOGO KUCHANGIA KILA NYUMBA JPO LAKI BILA KUJALI MUDA WA KUTOA HKO KIASI.

IFIKE KIPINDI DAR TU PEKE YAKE YOTE ISITEGEMEE MAJI YA HAWA JAMAA KABISA! SJUI KWA NINI MIRADI YETU YA SERIKALI INASUA SUA SANA NA INAWEKAZA MABILLION YA PESA ZA WANANCHI, MAJI, UMEME ,MIUNDOMBINU NI SHIDA YA KILA KUCHAO! MANPOENDA KUOMBA HISANI AU WAWEKEZAJI MKUMBUKE KUWEKEZA NA KAMPUNI ZA UMEME ZIJE NA WACHIMBA VISIMA VYA MAJI SALAMA ILI TUPATE USHINDANI JAMANI! KILA SKU TUPO NYUMA SISI TU MBAKA LINI..😰
 
2021 badi CCM kwa miaka 60 wameshindwa kuweka maji na umeme wa uhakika katika capital ya nchi.

Bado hawa watu wana wafuasi wakuwapigia kura Dah!!
 
Huyu waziri hamna kitu..kaenda kuteua washikaji zake Maharage..Mafuru..et al...ukimuona utasema mtu smart si ndio huyu....kumbe sinema tu
Kanaigiza usmart sana, kumbe ni kapichu tuu,kajinga kale.
 
Narudia tena..

Hii nchi bila ukatili na unyama ni kujidanganya tu.

Hakuna demokrasia kwa mjinga na mpumbavu, lazima kwanza ukatili na unyama utumike nyuma yake ndio aelewe majukumu yake na kujali utu wa watu wengine..
 
Back
Top Bottom