Wakazi wa Dar Es Salaam : Hizi ndiyo daladala zinazifanya usafiri ndani ya jiji la Dar Es Salaam

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
1.Hili gari hapo chini upande za kushoto uwa linafanya usafiri kuanzia Mbagala Rangi Tatu mpaka Kivukoni Feri.
http%3A%2F%2Fcdn.cnn.com%2Fcnnnext%2Fdam%2Fassets%2F131015105121-dar-es-salaam-4.jpg

2.Hilo gari la chini linafanya usafiri kutoka Mbezi kwenda Makumbusho
usafiri-pic-jpg.654306

3.Wale wa Buguruni kwenda Kivukoni Feri huwa wanapanda sana gari hili
daladala.jpg

4.Hili gari uwa linatoka Kimara kwenda Kawe kule jimboni kwa Mheshimiwa Halima Mdee
IMG_0279.JPG

5.Wale wanaotoka sijui Tegeta kwa Ndevu na baadhi ya sehemu zingine za Tegeta uwa wanagombania sana huu usafiri kwenda Ubungo

6.Wale wakazi wa Kimara kwenda Kivukoni Feri huu ndio usafiri wao
DALADALA.jpg
 
Mimi nawalalamikia kila siku walipo uwa route ya muhimbili to kimara

Walisubstute na mwendobughudha bila kufikiria kuwa wanawatesa wanakimara mara mbili kwa masilahi ya kampuni badala ya wananchi
1. Wahangaike kujiminya kwenye mabasi machache
2. Wafikirie namna ya kuwafikia wagonjwa kwa wakati na chakula
Nilidhani ingekuwa kusara kuanzisha route ya Kimara - Muhimbili ili kuwapunguzia usumbufu wa kubadilibadili mabasi fire na gerezani
 
Hakuna route yoyote ya daladala inayoanzia kimara via morogoro road zaidi ya mabasi ya udart.
 
Walisubstute na mwendobughudha bila kufikiria kuwa wanawatesa wanakimara mara mbili kwa masilahi ya kampuni badala ya wananchi
1. Wahangaike kujiminya kwenye mabasi machache
2. Wafikirie namna ya kuwafikia wagonjwa kwa wakati na chakula
Nilidhani ingekuwa kusara kuanzisha route ya Kimara - Muhimbili ili kuwapunguzia usumbufu wa kubadilibadili mabasi fire na gerezani
shida ni kwamba makutano ya fire ni vigumu kwa basi la mwendokasi kukunja kona... Warudishe daladala za kawaida mimi sitojali
 
Back
Top Bottom