Wakazi wa Dar Es Salaam : Hizi ndiyo daladala zinazifanya usafiri ndani ya jiji la Dar Es Salaam

1.Hili gari hapo chini upande za kushoto uwa linafanya usafiri kuanzia Mbagala Rangi Tatu mpaka Kivukoni Feri.
http%3A%2F%2Fcdn.cnn.com%2Fcnnnext%2Fdam%2Fassets%2F131015105121-dar-es-salaam-4.jpg



2.Hilo gari la chini linafanya usafiri kutoka Mbezi kwenda Makumbusho
usafiri-pic-jpg.654306


3.Wale wa Buguruni kwenda Kivukoni Feri huwa wanapanda sana gari hili
daladala.jpg



4.Hili gari uwa linatoka Kimara kwenda Kawe kule jimboni kwa Mheshimiwa Halima Mdee
IMG_0279.JPG



5.Wale wanaotoka sijui Tegeta kwa Ndevu na baadhi ya sehemu zingine za Tegeta uwa wanagombania sana huu usafiri kwenda Ubungo




6.Wale wakazi wa Kimara kwenda Kivukoni Feri huu ndio usafiri wao
DALADALA.jpg
Hiyo Kimara kwenda kivukoni haipo tena, imekuwa replaced na mwendokasi, ila.uzi mzuri.
 
Huu uzi utakuwa useful miaka 40 ijayo ambapo hizi basi zitakuwa zilipendwa watu tutakua tunadownload hizi picha na kufanya kama meme
 
shida ni kwamba makutano ya fire ni vigumu kwa basi la mwendokasi kukunja kona... Warudishe daladala za kawaida mimi sitojali


Mkuu nadhani wakidhamiria kufanya marekebisho wanaweza, hawakutaka tu kulifanikisha hilo kwasababu zao binafsi, lakini kiuhalisia maboresho yanahitajika kwa direct route ya Kimara Muhimbili, wanaohudumia wagonjwa kule Muhimbili wanateseka sana
 
7. Wale mapopo wenzangu wa kukesha maeneo hatarishi na hizi chini ndio usafiri kwa ajili ya ruti zetu tukirudi kupopoma
20181130_212649.jpg

20181130_212229.jpg
 
Back
Top Bottom