Wakazi wa Bukoba wasema bora kuishi pakistani kuliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi wa Bukoba wasema bora kuishi pakistani kuliko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jun 5, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Kutokana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa mjini bukoba ,wakazi wanaoishi maeneo yaliyokaribu na uwanja huo hususani eneo la shule ya msingi tumaini, nyumba zao ziko hatarini kuwadondokea kutokana na upasuaji wa miamba unaondelea uwanjani hapo, kwani ikifika saa 11 jioni, kuna mlio unasikika, kuwaambia wote mtoke nje kazi inaanza, hata kama mnamgonjwa inabidi abebwe atolewe nje.

  Wale wenye matatizo ya moyo walishawahamisha wagonjwa wao siku nyingi, kwani yakianza utadhani mabomu ya kandahari. Na nyumba nyingi zimetoa nyufa kibao, wakiuliza nani atawafidia wanaambiwa ni kosa lao, hawako makini.
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani hatuna budi kukubali ya kuwa maendeleo yana gharama zake. Na baruti hizo ni mojawapo ya gharama hizo, hivyo tuvute subira.
   
 3. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Imwe bhojooo!
   
 4. Tidito L

  Tidito L Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Mi nashangaa! Hao mipango miji wa manispal BK,sijui kwanini huo uwanja usingeliamishiwa mbali kuliko kuwatesa watu namna ile!
   
 5. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du! haki haipo kabisa,
   
Loading...