Wakazi wa buguruni wakamatwa kwa wizi wa umeme tanesco

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
[h=3][/h]

Mtuhumiwa wa wizi wa umeme Jeilan Mohamed, akiongozwa na jeshi la polisi kupanda gari baada ya kutuhumiwakuliibia umeme shirika hilo kwa njia ya kuunganisha kabla haujafika kwenye mita (kubaipass) maeneo ya Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.




WATU watano wakazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za wizi wa umeme kufuatia operesheni kaliinayoendeshwa na shirika la umemem Tanzania kupitia kanda zake za Ilala, Kinondoni na Temeke.

Kwenye zoezi hilo ambalo juzi lilifanyika kwenye maeneo ya buguruni watu watu watano walikutwa wakiiba umeme kwa njia ya kuchezea mita kwa kuchukua umeme kabla haujafika kwenye mita ambayo kitaalamu hujulikana kama (bypass).



KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
Vipi kuhusu wezi wakubwa wa mabilioni ya Tanesco akina Mhando na mke wake na wao wameshakamatwa na polisi?
 
Back
Top Bottom