imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,060
- 69,868
Tulikuwa tunaongelea Watu wa Asili ya Zanzibar na kwa taarifa yako kuwa Mwafrika sio lazima uwe Mbantu.Sawa, sikatai
Ila ninyi huwa mnshindwa kutofautisha ugunduzi na urasimishaji
Hakuna Mgeni aliyegundua landscape yoyote aliyoikuta Afrika
Walisafiri ndio lakini walivikuta na walikuta Watu wakihusiana navyo na waafrika waliviita kwa majina ya asili yao kabla Mzungu hajafika
Walichofanya wao ni kurename na kurasimisha basi
Ni kama kuambiwa John Rebman aligundua Mlima Kilimanjaro....HOW?
Angalia Visiwa vya Socotra vilivyopo kwenye pembe ya Afrika lakini watu wake wa asili ni Waarabu wa yemen.