Wakazi wa Arusha walalamika mkoa wao umesimama kimaendeleo sababu ya Meya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi wa Arusha walalamika mkoa wao umesimama kimaendeleo sababu ya Meya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Jul 28, 2011.

1. Ritz

Ritz JF-Expert Member

#1
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 42,252
Likes Received: 4,672
Trophy Points: 280
Baadhi ya Wananchi na wakazi wa Arusha na vitongoji vyake!
Waliozumgumzia hali hiyo wanasema 'sisi tunataka amani na utulivu ili tupate maendeleo kwa sasa Mji wetu maendeleo yetu yamesimama kutokana na Mgogoro wa Madiwani, mpaka miaka mitano ipite sijui tutakuwa kwenye hali gani ki uchumi' alisema mpiga kura wa siku nyingi mjini hapa, Moloiment Mallya.
Wakazi wengine ambao ni wapiga kura wamesema msimamo wao hawataingiza itikikadi za kisiasa, wapo pamoja na Madiwani wanane kuleta amani jijini Arusha, wamesema kama CDM itaamua kuwavua uanachama au Madiwani hao kuchoshwa na udhalilishaji waliofanyiwa wataamaua kujiengua kwa hiyari basi watakuwa nao popote watakapohamia kisiasa.
Wapiga kura wa Arusha wapenda Amani walisema.
Nawakilisha

2. Majoja

Majoja JF-Expert Member

#2
Jul 28, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 610
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Subiri wewe kamati kuu ya chama iamue cha kufanya.Kwani tuliandamana bure?

3. Majoja

Majoja JF-Expert Member

#3
Jul 28, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 610
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Subiri wewe kamati kuu ya chama iamue cha kufanya.Kwani tuliandamana bure?

4. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#4
Jul 28, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145

<br / samahani ndugu je we ni mwandishi wa habari?

5. Ngongo

Ngongo JF-Expert Member

#5
Jul 28, 2011
Joined: Sep 20, 2008
Messages: 12,155
Likes Received: 3,632
Trophy Points: 280
Majoja,

Sijui kama unatania au umeandika bandikolako kwa dhati.
Mkuu wangu hivi vyama vya siasa wakati mwingine vinadhani vina weza kufanya jambo lolote kwakuwa wananchi waliwapigia kura.Kifupi sana CHADEMA lazima watazame maamuzi yao yatawanuasha vipi wananchi badala ya kuangalia faida za kisiasa.Bungeni CCM ina wabunge wengi sana wananchi wanakwazika na wingi wa wabunge wa CCM kwasababu mara nyingi wanatazama maslahi ya chama chao dhidi ya maslahi ya wananchi [Tanzania].

Muendelezo wa mgogoro wa madiwani wa CHADEMA utazidi kukipunguzia chama umaarufu kama ilivyotekea kwa chama cha NCCR Mageuzi.Ni vyema suala la madiwani likamalizwa mapema.
6. F

FJM JF-Expert Member

#6
Jul 28, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
@Moloiment Mallya sorry rizt,
Kwa miaka 50 ni maendeleo gani mmeleta?

7. M

Maskini Jeuri Member

#7
Jul 28, 2011
Joined: May 9, 2011
Messages: 80
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Pia nadhani ngongo no ritz Ni mmoja. Usinunue akili za watu kuacha kujadili huo upuuzi hapa. Tafadhali sana, kwenye taifa hili sikutegemea kama kuna mjinga kama wewe! Unanitisha sana! Kwa habari za kututunga unazotaka kutuaminisha. That's too low. Mods mkiona chunguzeni ID ya huyu mtu. Anapost na kujijibu mwenyewe. Si mzalendo hata kidogo! Akipewa pesa atumalize tukiwa tumelala kwisha habari yetu.
Nawasilisha!

8. M

Maskini Jeuri Member

#8
Jul 28, 2011
Joined: May 9, 2011
Messages: 80
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Moloimet -Masai pure
Mallya- Mkibosho.
Ujinga na kutupotezea wakati
Ngongo+ ritz=1 tomb.

9. Ringo Edmund

Ringo Edmund JF-Expert Member

#9
Jul 28, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 4,895
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
we ni kibaka wa siasa.
duniani hakuna mtu anaitwa moloimet malya.
na arusha hupajui,wewe ni mchonganishi na kibaraka usiyejua unafanya nini.
sisi ndo wana arusha tunasema tupo nyuma ya uongozi wa cdm taifa.wewer na jina lako la kuazima na akili yako nayo nadhani ni ya kuazima.
arusha imekaa chini ya magamba kwa miaka hamsini pamoja na rasilimali kibao hana lolote.
stand moshi wametupita.
soko moshi,dom wametupita.
maji dodoma pamoja na ukame wametupita.
barabara hata singida wamwtupita.
usafi hata iringa,manyara wametupia.
parking matatizo.
taa za barabarani aibu.
maji taka yamezagaa mjini.

we ritz huwezi kutuambia chochote machalii wa arusha kakae na wachovu wenzako huko pwani sisi tumeshaamka.
hatuogopi kukosa maendeleo kwa miaka kwa miaka 5 wakati tulikosa kwa miaka 50 chini ya magamba.

arusha peoplesssssssss
powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.

10. Mungi

Mungi JF Gold Member

#10
Jul 28, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
Katiba ya chama itamaliza mgogoro uliopo kati ya madiwani na mbunge wao.

11. M

Maskini Jeuri Member

#11
Jul 28, 2011
Joined: May 9, 2011
Messages: 80
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Pia nadhani ngongo no ritz Ni mmoja. Usinunue akili za watu kuacha kujadili huo upuuzi hapa. Tafadhali sana, kwenye taifa hili sikutegemea kama kuna mjinga kama wewe! Unanitisha sana! Kwa habari za kututunga unazotaka kutuaminisha. That's too low. Mods mkiona chunguzeni ID ya huyu mtu. Anapost na kujijibu mwenyewe. Si mzalendo hata kidogo! Akipewa pesa atumalize tukiwa tumelala kwisha habari yetu.
Nawasilisha!

12. THINKINGBEING

THINKINGBEING JF-Expert Member

#12
Jul 28, 2011
Joined: Aug 9, 2010
Messages: 2,726
Likes Received: 854
Trophy Points: 280
A complete fabrication.
Hv a 9c day rtz.

13. CHASHA FARMING

CHASHA FARMING Verified User

#13
Jul 28, 2011
Joined: Jun 4, 2011
Messages: 6,133
Likes Received: 2,117
Trophy Points: 280
wewe nge.ke.nge mimi nipo arusha mbona sijasikia hayo? na taja maendeleo yaliyo simama. kwani madiwani ndo wanatoa pesa za maendeleo? pesa c zinatolewa na serikari? madiwani wanakusanya kodi?
WEWE NAONA UNAFIKILIA KWA KUTUMIA NYUMA. KWANZA HUISHI ARUSHA NA SI ZANI KAMA UNAFAHAMU HATA MTAA MMOJA WA ARUSHA.

HII KAWAKILISHE KWA MAMA YAKO

14. Mungi

Mungi JF Gold Member

#14
Jul 28, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180

moleiment ni masai na malya ni mchaga. Ukiambiwa we mpumbavu utalalamika?

15. Ngongo

Ngongo JF-Expert Member

#15
Jul 28, 2011
Joined: Sep 20, 2008
Messages: 12,155
Likes Received: 3,632
Trophy Points: 280
Join Date : 9th May 2011
Posts : 10

Rep Power : 0

Siwezi kubishana na wewe kwanza bado unatambaa.

16. k

kipuyo JF-Expert Member

#16
Jul 28, 2011
Joined: Jul 30, 2009
Messages: 1,143
Likes Received: 508
Trophy Points: 280
Ritz ni mtoto wa kwanza wa ****** na Ngongo ni adui namba moja wa Mh Lema anayeshindwa kuzuia tofauti zake binafsi na lema kudadavua mambo bila kuweka bias zake.
Ninashangaa Ritz kujua kila kitu kinachoendelea kwenye majimbo kama Arusha na Nyamagana mara ajiite yeye ni wa huko Mwanza mara ni wa Mbeya na sasa anjifanya yupo Arusha.Acha hizo wewe!

17. Ritz

Ritz JF-Expert Member

#17
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 42,252
Likes Received: 4,672
Trophy Points: 280

Mkuu, kwani mkoa wa Arusha watu wanahurusiwa kukaa ni kabila gani?

18. Y

Ye Nyumbai Senior Member

#18
Jul 28, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 125
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Acha kutuletea porojo na majina mchanganyiko.Wewe ni mtu wa kutunga mambo na kutupotezea muda jamvini. Wapi umesikia Wana Arusha tulilalamika? Hatukuandamana bure na bado hatumtambui meya.Sisi tuko nyuma ya Uongozi wa CHADEMA Taifa. Usaliti kwetu mwiko. Wajiuzuru na tutachagua CHADEMA bila kupingwa.Acha uzushi!!!

19. Ritz

Ritz JF-Expert Member

#19
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 42,252
Likes Received: 4,672
Trophy Points: 280

Komandoo wa Matusi.

Nadhani ujui mambo ya uchumi wawekezaji wenye Hotel, mjini mbugani wanalalamika wageni wamegoma kuja Arusha kuofia vurugu za kisiasa!

Vile vile ata wawekezaji wa ndani nao wanalalamika wamiliki wa shule watu wanaamisha watoto wao kwenye shule za Arusha wanawapeleka Nairobi, Arusha hali sio shwari

20. Ringo Edmund

Ringo Edmund JF-Expert Member

#20
Jul 28, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 4,895
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
we kilaza hao wenye hoteli za kitalii walikuwepo miaka yote na hatujawa na maendeleo.
uchumi wa baba yako na mafisadi wenzie sisi unatusaidia nini?hapa arusha ni maandamano mpaka kieleweke.
upuuzi wako peleka pwani huko.
huku ni a town.
nyau we na aliyekutuma kamwambie watu wa arusha wameamka.

Loading...