Wakazi Takriban Wote wa Mkoa wa Pwani Kuondolewa Ili Kupisha Wawekezaji wa Kuchimba Mafuta

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Kuna taarifa za chini kwa chini kwamba wengi wa wakaazi wa Pwani wanaishi na kujenga kwenye aridhi ambayo tayari wawekezaji wameshakabidhiwa. Kwa mfano, bwana mmoja hivi karibuni alivamiwa katika eneo lake na wazungu ambao walikuwa wanafanya utafiti wa kiasiu cha mafuta katika eneo la mkoa wa Pwani.

Anasema walikuwa na vifaa vyao walivyosimika katika eneo la shamba lake. Aliamuwa kuwafuata na kuwauliza kulikoni wanaendesha shughuli zao katika eneo lake pasipo idhini yake? Ndipo walipomjibu kuwa wao ni wawekezaji. Na eneo lile lote wamekwiisha kabidhiwa tayari kwa uchimbaji mafuta. Na walichokuwa wanafanya ni kuona eneo la msambao wa mafuta aridhini. Walimwambia eneo lote lile liko juu ya mafuta kuelekea mwambao wa pwani na kwenye delta ya mto Rufiji.

Kama ndivyo ilivyo basi watanganyika tujue tumekwisha uzwa tena. Miradi yote ya wawekezaji katika eneo la madini,gesi asilia,makaa ya mawe, chuma nk. haina manufaa yoyote isipokuwa kwa viongozi wa CCM na serikali yao (kumbuka msemo, CCM ina wenyewe) huku viogozi hao wakigawana utajiri wa raslimali za watanganyika baina ya wazungu, wahindi,waarabu, wachina na watoto wao,rafiki zao,jamaa zao.

Huu ni wakati wa kukataa KABISA UZANDIKI HUU! Katiba mpya ipunguze madaraka ya rais,aridhi imilikiwe na wananchi,badala ya kupangishwa. Muungano ni mlango mwingine wa ufisadi na uzandiki huu.
WATANGANYIKA TUAMKE, KUMEKUCHA,MAPAMBAZUKO YAMEISHA PITA!
 
hii ni kali ya mwaka maana mpaka sasa tunaambiwa utafiti bado unaendelea hayo mafuta yametoka wapi au ndo ccm imeuza nchi kijanja kwa kisingizio mafuta eeee Mungu turehemu.
 
kuna Watanganyika fulani waliwahi kumuomba Dr. Slaa awaruhusu waje waung'oe utawala wa kiimla wa CCM pale magogoni, lakini Dr. Slaa akawakataza.

endeleeni kulialia.

lazima kuwe na Benghazi vinginevyo tumikwisha.
 
hainiingii akilini na Rais Kikwete kauzwa na wkwele wenziwe kwa wawekezaji mpeni pole
 
]kuna Watanganyika fulani waliwahi kumuomba Dr. Slaa awaruhusu waje waung'oe utawala wa kiimla wa CCM pale magogoni, lakini Dr. Slaa akawakataza.

endeleeni kulialia.

lazima kuwe na Benghazi vinginevyo tumikwisha
 
waondolewe tu kwani wanafaida gani? Mijitu yenyewe kila kukicha inawaza midundiko haichangii chochote zaidi ya kuongeza idadi ya mafukara.
 
mafuta hayachimbwi kama dhahabu
hii habari ina walakini fulani.
sina hakika kama mitambo ya kuchimba mafuta inawekwa nchi kavu.
 
Chanzo cha taarifa hii ni mzee mkazi wa Kibaha ambaye ni mstaafu serikalini na nddiye aliyeongea na wavamizi hao. Wazungu hao walimwambia wao ni wa norway na kampuni yao ndiyo iliyokabidhiwa eneo hilo lote. Walimwambia kwa sheria za Tanzania yeye hana chake. Ila ingekuwa kwao mtu anayemiliki aridhi ambayo inagundulika kuwa na madini basi hugawiwa hisa kiasi toka kwenye mradi husika. Nadhani wao wanazingatia Azimio la UN kuhusu raslimali kuwanufaisha wananchi (ya mwaka 1956 na 1966)
 
WeweMene terry mwehu? Umerogwa?mtu wa wapi wewe? Wewe unajua chanzo cha umasikini wa watu wa pwani?niambie kwanza wewe unawakilisha wapumbavu kutoka wapi au mkoa upi maana tafakuri na utterance yako inaonesha ni result ya upbring kutoka ktk jamii yako!
 
hii ni kali ya mwaka maana mpaka sasa tunaambiwa utafiti bado unaendelea hayo mafuta yametoka wapi au ndo ccm imeuza nchi kijanja kwa kisingizio mafuta eeee Mungu turehemu.
weee mzee wa IKIZU wewe hii ID yako hii pamioja na joining date yako hii inanipa wasiwasi sana ni kama mtu ninayemfahamu
 
user-online.png
ikizu
Today 18:10
#4
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 26th October 2011
Location : shinyanga
Posts : 35

Rep Power : 0

[h=2]
icon1.png
Re: Wakazi Takriban Wote wa Mkoa wa Pwani Kuondolewa Ili Kupisha Wawekezaji wa Kuchimba Mafuta[/h]
naomba utupe chanzo ili tufanye malejeo​

Re: Wakazi Takriban Wote wa Mkoa wa Pwani Kuondolewa Ili Kupisha Wawekezaji wa Kuchimba Mafuta

naomba utupe chanzo ili tufanye malejeo​

Chanzo cha taarifa hii ni mzee mkazi wa Kibaha ambaye ni mstaafu serikalini na nddiye aliyeongea na wavamizi hao (Eye Witnes). Wazungu hao walimwambia wao ni wa norway na kampuni yao ndiyo iliyokabidhiwa eneo hilo lote. Walimwambia kwa sheria za Tanzania yeye hana chake. Ila ingekuwa kwao mtu anayemiliki aridhi ambayo inagundulika kuwa na madini basi hugawiwa hisa kiasi toka kwenye mradi husika. Nadhani wao wanazingatia Azimio la UN kuhusu raslimali kuwanufaisha wananchi (ya mwaka 1956 na 1966)
 
Back
Top Bottom