Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 733
Duh hii nyomi ya Mwanza ilikomaa kinoma kwa matokeo ya Nyamagana kwa kweli Jk na Masha wangeiforce matokeo ingekuwa dhahama....Jionee mwenyewe kwa kweli iko siku haki ya Mtanzania itapatikana tu Mungu yupo....