Elections 2010 Wakazi na Mwanza walipowakolia JK na Masha

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Duh hii nyomi ya Mwanza ilikomaa kinoma kwa matokeo ya Nyamagana kwa kweli Jk na Masha wangeiforce matokeo ingekuwa dhahama....Jionee mwenyewe kwa kweli iko siku haki ya Mtanzania itapatikana tu Mungu yupo....


VURUGU+MWANZA.JPG

VURUGU+21.JPG
VURUGU.JPG
 
hiyo ndio inaitwa nguvu ya umma, hata kama wangechakachua nyamagana ingekuwa kama darfur!!!
 
Back
Top Bottom