Wakazi amuumbua afande Sele kwa busara

Huyo jamaa naona anajiona msanii mkubwa wakati nyimbo zake zinaishia kusikilizwa geto na washkaji zake tuu..asilazimishie umaarufu ..afande licha ya bangi zake katika hili yupo sahihi
washkaji zake huko magetoni wako kiasi gani,never underestimate muziki wake huyu afande unae mtetea hapa asinge komaa kumjibu sasa,kwakuwa afande anajua wakazi ni nani ndomana kakimbilia kurusha madongo yake
 
Afande sele asilazimishe ufalme zama zake zimepita, now ni wakati wa wengine yeye alishakuwa mfalme wakati huo kwa nyimbo za wakati huo, ila ladha yake kwa sasa haiongi aache kashfa astaafu kwa heshima.
 
Everybody is entitled to his/her opinion.Wakazi akiwa XXL alisema afande sio mzuri kwenye lyrical technicality.
Kwangu afande sele ni sense lyricist,kwangu namuweka kwenye kundi moja na kina professor jay,solo thang wa kipindi like.Uwa wanaiwakilisha jamii to the fullest,yani ni wasanii ambao unaweza kukaa na wazazi wako mkasikiliza nyimbo zao.

Kuhusu technical lyricists,hawa ndo wasanii wangu bora.
Nikki mbishi
One the incredible
Sterio singasinga
Said
P the Mc

Wakazi is an average rapper for me.Nakubaliana na Adam Mchomvu alivyomwambia kidogo sasa hivi ameimprove.
 
Hao wanaojiita wana technical lyrics wanarap utoto tu na kufurahisha masela kwa 'mapanchaline', watu wa kusikilizwa ni hilo kundi la kina profesa jay, muongeze na Jay Mo wa zamani
 
Mi kama mtu hajaweka japo wimbo mmoja wa wakazi nitasema tafute pa kumzungumxia huyo wakazi wenu na mutuachie mbangibangi wetu afande sele!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom