denooJ JF-Expert Member Mar 31, 2020 18,511 68,141 May 8, 2021 #1 Mpira wa bongo ni pasua kichwa sijawahi kuona. Tusubiri TFF tuone wataamua nini.
Selikavu JF-Expert Member Jul 14, 2017 5,462 12,663 May 8, 2021 #2 Wanafki walamba matako ndo wameingia sasa😠
Lupweko JF-Expert Member Mar 26, 2009 20,690 20,451 May 8, 2021 #3 Simba inatosha kuiwakilisha nchi, kucheza ligi ni formalities tu za kumpata bingwa na mwakilishi, ambaye ni Simba
Simba inatosha kuiwakilisha nchi, kucheza ligi ni formalities tu za kumpata bingwa na mwakilishi, ambaye ni Simba