Wakati wowote kuanzia sasa Watanzania wataanza kufukuzwa Kenya. Mshahara wa dhambi ni mauti

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Kuna Mtu wangu wa karibu anafanya biashara Kenya, yeye ni Mtanzania. Anasema kwa sasa hali siyo shwari kabisa, wanafanya biashara kwa wasi wasi mkubwa wakihofia kuvamiwa na Magenge ya Wahuni, hawa inaonekana Kama ni Magenge ya Wahuni lakini ukweli ni kwamba ni watu walioandaliwa kufanya hayo ambayo yatafanyika.

Nimesikiliza pia Bunge la Kenya, baadhi ya wabunge wakimuunga Mkono Jaguar kwa kauli zake za kuwafukuza wageni wote wanaofanya biashara Kenya.

Wabunge wameonyesha Chuki za wazi wazi kwa Serikali ya Tanzania iliyo Madarakani sasa. Wamekumbusha juu ya Vifaranga vya Kenya vilivyoteketezwa na Moto wakati Vikitaka kuingia Tanzania, wamekumbusha Juu ya Ngombe zao Kukamatwa na kutaifishwa na Tanzania. Pia wameongelea Meneja mmoja mwanamke alitekataliwa na Serikali ya Tanzania kuwa Meneja wa Vodacom.

Wamelalamikia juu ya Maziwa ya kenya kutokuruhusiwa kuingia Tanzania pamoja na Mambo mengi Sana. Na hii inaonekana hata kwa wao kusema wageni wanaofanya biashara Kenya wanatakiwa Kuondoka, hao wengine ni Geresha tu, ila Anayelengwa Haswa Ni Mtanzania.

Sasa ni Vema sana kwa viongozi wetu wanapotuongoza wawe wanatumia Busara sana ktk kutuongoza. Kwa Sababu, maamuzi Yao yasiyo na Busara yatawaingiza Watanzania wenzetu Ktk dhiki kubwa sana pamoja na Hatari kubwa sana. Kuna Mengi Mabaya sana yatawatokea Watanzania wanaoishi Kenya. Viongozi wetu wametujengea uadui mkubwa sana na majirani zetu Wakenya. Mimi sijui wao Wananufaika nini, na uadui Huu. Mshahara wa Dhambi ni Mauti.
 
WAcha upuuzi wewe kwa Akili Yako Unadhani Rahisi kiivyo
Kenya atapoteza zaidi kuliko sisi japo Kila upande una Faida na upande mwingine
Kenya ni chuki tu
walizoea Miaka nenda Rudi wao kuigeuza Tanzania shamba la bibi
Ilikuwa kila kitu Made in Kenya
Madini yapatikanayo Tanzania Ajabu Kenya inakuwa juu kimauzo
Hali imekuwa tofauti.
Vitu wanavyo lalamikia Kufanywa na Watanzania ni vitu vyahali ya chini mno Kabechi!!
 
Mawazo mgando.
Ni vizuri kama nini ndugu wakikaa pamoja na kwa umoja.
Dunia ni kijiji
Hii misuguano ni ile isiyokuwa ya lazima eti kwasababu huku wapo wanafundisha viinglish medium
Kuna tatizo mahali na muafaka halisi ndio unahitajika sio ubabe
We umeona kufundisha tu
Tulikuwa wanyonge miaka mingi wacha tuheshimiane
Walituita kila aina ya majina ya Dharau
 
Wajaribu ndo watajua Tanzania Ndo Baba Wa East Africa
Inaonekana hujui mambo mengi sana ya biashara juu ya Tanzania na Kenya. Ila nikujulishe tu kwamba, kuna wafanyabiashara kwa mamilioni ambao wananufaika sana na Huu ujirani wetu. Kwa hiyo ujue. Chako choko Zozote zitakazotokea, ni Kuwatia umasikini mamilioni ya Watanzania bila Sababu yoyote ya Msingi, au kwa chuki binafsi tu za viongozi wetu
 
Kiukweli kwa vichwa vya wakenya wakiamua kuwaka wanawaka haswa nadhani tunawaona kwenye chaguzi zao kuu, hawaogopi mabomu hata kikinukishwa wataendelea kugawa kipigo kwa watanzania wenzetu huku wananawa tear gas tofauti na huku tunaweza tishiwa tu kipigo cha mbwakoko tukaufyata.

Busara itumike tusifikie huko!
 
Hongera kwa kujua
 
We umeona kufundisha tu
Tulikuwa wanyonge miaka mingi wacha tuheshimiane
Walituita kila aina ya majina ya Dharau
Lakini jua watakaomia ni Wananchi wetu. Wewe na hao wanaosabisha haya matatizo, Mko Raha Mustarehe. Kwa sababu Mnaona Kama matatizo ya Watanzania Wengine hayawahusu.
 
Kuna Mtu wangu wa karibu anafanya biashara Kenya, yeye ni Mtanzania. Anasema kwa sasa hali siyo shwari kabisa, wanafanya biashara kwa wasi wasi mkubwa wakihofia kuvamiwa na Magenge ya Wahuni, hawa inaonekana Kama ni Magenge ya Wahuni lakini ukweli ni kwamba ni watu walioandaliwa kufanya hayo ambayo yatafanyika.

Nimesikiliza pia Bunge la Kenya, baadhi ya wabunge wakimuunga Mkono Jaguar kwa kauli zake za kuwafukuza wageni wote wanaofanya biashara Kenya.

Wabunge wameonyesha Chuki za wazi wazi kwa Serikali ya Tanzania iliyo Madarakani sasa. Wamekumbusha juu ya Vifaranga vya Kenya vilivyoteketezwa na Moto wakati Vikitaka kuingia Tanzania, wamekumbusha Juu ya Ngombe zao Kukamatwa na kutaifishwa na Tanzania. Pia wameongelea Meneja mmoja mwanamke alitekataliwa na Serikali ya Tanzania kuwa Meneja wa Vodacom.

Wamelalamikia juu ya Maziwa ya kenya kutokuruhusiwa kuingia Tanzania pamoja na Mambo mengi Sana. Na hii inaonekana hata kwa wao kusema wageni wanaofanya biashara Kenya wanatakiwa Kuondoka, hao wengine ni Geresha tu, ila Anayelengwa Haswa Ni Mtanzania.

Sasa ni Vema sana kwa viongozi wetu wanapotuongoza wawe wanatumia Busara sana ktk kutuongoza. Kwa Sababu, maamuzi Yao yasiyo na Busara yatawaingiza Watanzania wenzetu Ktk dhiki kubwa sana pamoja na Hatari kubwa sana. Kuna Mengi Mabaya sana yatawatokea Watanzania wanaoishi Kenya. Viongozi wetu wametujengea uadui mkubwa sana na majirani zetu Wakenya. Mimi sijui wao Wananufaika nini, na uadui Huu. Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Sifa anastahili Jiwe ambaye ashahuriki na pumbavu bila idadi. Manake waliotoka jalalani wengine vichaa acheni kichafuke tu kwani nini maskini wamekuwa wengi na mawazo ya maskini hayanaga cha kupoteza.
 
Kiukweli kwa vichwa vya wakenya wakiamua kuwaka wanawaka haswa nadhani tunawaona kwenye chaguzi zao kuu, hawaogopi mabomu hata kikinukishwa wataendelea kugawa kipigo kwa watanzania wenzetu huku wananawa tear gas tofauti na huku tunaweza tishiwa tu kipigo cha mbwakoko tukaufyata.

Busara itumike tusifikie huko!
Ni hatari kubwa sana iliyopo mbele ya Ndugu Zetu wanaoishi Kenya Mkuu, ni Mazuzu tu ndiyo hawaoni hatari hii.
 
... haikuwa sahihi kuwachoma wale vifaranga au kupiga mnada wale ng'ombe! Kitendo kile kilionyesha chuki ya waziwazi kabisa dhidi ya Kenya na wakenya; leo wameamua kujibu mapigo. Sijui kwanini busara ilikosenaka kwa kiwango kile. Let's pray for our nation and our people, let's pray for peace and love in East Africa.
 
Kuna Mtu wangu wa karibu anafanya biashara Kenya, yeye ni Mtanzania. Anasema kwa sasa hali siyo shwari kabisa, wanafanya biashara kwa wasi wasi mkubwa wakihofia kuvamiwa na Magenge ya Wahuni, hawa inaonekana Kama ni Magenge ya Wahuni lakini ukweli ni kwamba ni watu walioandaliwa kufanya hayo ambayo yatafanyika.

Nimesikiliza pia Bunge la Kenya, baadhi ya wabunge wakimuunga Mkono Jaguar kwa kauli zake za kuwafukuza wageni wote wanaofanya biashara Kenya.

Wabunge wameonyesha Chuki za wazi wazi kwa Serikali ya Tanzania iliyo Madarakani sasa. Wamekumbusha juu ya Vifaranga vya Kenya vilivyoteketezwa na Moto wakati Vikitaka kuingia Tanzania, wamekumbusha Juu ya Ngombe zao Kukamatwa na kutaifishwa na Tanzania. Pia wameongelea Meneja mmoja mwanamke alitekataliwa na Serikali ya Tanzania kuwa Meneja wa Vodacom.

Wamelalamikia juu ya Maziwa ya kenya kutokuruhusiwa kuingia Tanzania pamoja na Mambo mengi Sana. Na hii inaonekana hata kwa wao kusema wageni wanaofanya biashara Kenya wanatakiwa Kuondoka, hao wengine ni Geresha tu, ila Anayelengwa Haswa Ni Mtanzania.

Sasa ni Vema sana kwa viongozi wetu wanapotuongoza wawe wanatumia Busara sana ktk kutuongoza. Kwa Sababu, maamuzi Yao yasiyo na Busara yatawaingiza Watanzania wenzetu Ktk dhiki kubwa sana pamoja na Hatari kubwa sana. Kuna Mengi Mabaya sana yatawatokea Watanzania wanaoishi Kenya. Viongozi wetu wametujengea uadui mkubwa sana na majirani zetu Wakenya. Mimi sijui wao Wananufaika nini, na uadui Huu. Mshahara wa Dhambi ni Mauti.
Watanzania na wakenya, nani aliyehania kwa mwenzake kwa idadi kubwa?
Wakenya wanataka waje hapa kama wanaenda Kisumu. Wewe unaweza kufanya hivyo Kenya?
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom