Wakati wowote kuanzia sasa tunaweza kusikia matamko kutoka CCM, UVCC na pia kushuhudia maandamano makubwa ya ku huku kusini ya kumpongeza bwana mkubwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Kutokana na mwenendo wa sasa wa hawa watu na mwenendo binafsi wa mheshimiwa sana, sitashangaa kuona hayo yote niliyoyataja au baadhi yakitokea katika siku chache zijazo.

Hata hivyo,nawashauri ndugu zangu wa huko kusini kujipa muda wa kuona ni jinsi gani ahadi hizi tamutamu zitakavyotekelezwa.

Wasubiri kuona haya;

Je; bei iliyotajwa ndio itatumika katika kununua mazao yao?

Je,kila mwenye mazao, mazao yake yote yatanunuliwa?

Je,ni kweli mazao yatanunuliwa kwa maana ya kwamba hakuna kubadili gia angani?

Mwisho,ikitokea wametekeza ahadi zao, basi hela watayopata msimu huu nawashauri waitumie vizuri maana msimu ujao mambo yanaweza kuwa tofauti kabisa.

Msijenge imani sana na watu wanaofanya maamuzi huku wakionekana kutokujipanga maana inaweza kuwagharimu.
 
Kutokana na mwenendo wa sasa wa hawa watu na mwenendo binafsi mheshimiwa sana, sitashangaa kuona hayo yote niliyoyataja au baadhi yakitokea katika siku chache zijazo.

Hata hivyo,nawashauri ndugu zangu wa huko kusini kujipa muda wa kuona ni jinsi gani ahadi hizi tamutamu zitakavyotekelezwa.

Wasubiri kuona haya;

Je; bei iliyotajwa ndio itatumika katika kununua mazao yao?

Je,kila mwenye mazao, mazao yake yote yatanunuliwa?

Je,ni kweli mazao yatanunuliwa kwa maana ya kwamba hakuna kubadili gia angani?

Mwisho,ikitokea wametekeza ahadi zao, basi hela watayopata msimu huu nawashauri waitumie vizuri maana msimu ujao mambo yanaweza kuwa tofauti kabisa.

Nahisi we kama mwanga/mchawi vile. Hamna jema!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom