Wakati wenzetu wanawahi kuleta maendeleo, sisi bado tunachapa usingizi

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,215
17,772
13438917_10153447156706599_3897698009239836292_n.jpg
 
Maendeleo yana maana pana, aidha, huwezi kujilinganisha na taifa ambalo lina umri wa miaka 500 tangu lipate uhuru ilhali wewe ndo kwanza una miaka 50, hata hao unaosema wana maendeleo, walianza kama wewe na kuna kipindi walikuwa chini zaidi ya hapo ulipo.
 
Sawa, nimeelewa hiyo excuse. Sema next time wawashushie chandarua kabisa wasisumbuliwe na mbu.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Ni kweli, lakini pia angalia umri wa hao wanaosinzia, sitarajii kama uhuru Kenyata anaweza kusinzia hivyo, hayo ni madhara ya kukaa madarakani mpaka kifu kukutenga, walioweka umri ukomo wa umri wa utumishi kuwa miaka 60 hawakuwa wajinga.
 
Kama miili imechoka hivyo sijui akili zitafanyazi vipi. Haya tusubiri hayo maendeleo ya miaka 500.
 
Maendeleo yana maana pana, aidha, huwezi kujilinganisha na taifa ambalo lina umri wa miaka 500 tangu lipate uhuru ilhali wewe ndo kwanza una miaka 50, hata hao unaosema wana maendeleo, walianza kama wewe na kuna kipindi walikuwa chini zaidi ya hapo ulipo.
Acha kujifurahisha wewe! Mwaka 1961 wakati tunapata uhuru, tulikuwa sawasawa na Malaysia leo hii wako wapi? Waangalie wa Vietnum. 50years bado unahangaika na madawati na sukari? Watu wamekaa bungeni kuongelea ukawa badala ya kufikiria maendeleo. Elimu ni kukariri tu. Mtu una Phd kiingereza hujui na umekitumia miaka yote then leo hii unapata nafasi ya kurekebisha hayo, unahangaika na TBC, Lissu, sijui nani amenitukana mtandaoni. Hata tupewe miaka milion moja tutakua hivihivi
 
Ngoja tusubiri tufike miaka 500
 
jipe moyo utashinda
 
Soma historia ya marekan baada ya miaka 50 ya uhuru halafu uilinganishe na tanzania ilivyo sasa baada ya miaka 50 ya uhuru.. Jibu utakalopAta utaelewa kwanin mtoa mada kaleta huu uzi
 
Maendeleo yana maana pana, aidha, huwezi kujilinganisha na taifa ambalo lina umri wa miaka 500 tangu lipate uhuru ilhali wewe ndo kwanza una miaka 50, hata hao unaosema wana maendeleo, walianza kama wewe na kuna kipindi walikuwa chini zaidi ya hapo ulipo.
Ni maendeleo ya aina gani unayomaanisha? Maendeleo ya kuzidi kuimarisha dunia badala ya kujihimarishia ahera!?

Babu yako aliyemzaa babu yako kizaa baba yako uliwahi kumwona?
Enzi ya uhai wake alikuwa na malengo ya kutimiza mengi zaidi katika maisha yake, lakini hadi anazeeka mpaka kifo kinamfika hata robo yake ya hayo alokuwa amelenga kufanya bado hakuwahi kuyafikia.

Umezaliwa duniani, umesoma dunia, umechuma dunia, umeoa duniani, mpaka unakufa anahangaikia dunia tu!!!

Zingatia kwamba kadili unavyotumia mda mwingi kuijenga dunia, hakika hutokuwa na mda tena wa kuimarisha ahera.
 
Nje ya mada.
 
Acha kujifurahisha wewe! Mwaka 1961 wakati tunapata uhuru, tulikuwa sawasawa na Malaysia leo hii wako wapi? Waangalie wa Vietnum. 50years bado unahangaika na madawati na sukari? Watu wamekaa bungeni kuongelea ukawa badala ya kufikiria maendeleo. Elimu ni kukariri tu. Mtu una Phd kiingereza hujui na umekitumia miaka yote then leo hii unapata nafasi ya kurekebisha hayo, unahangaika na TBC, Lissu, sijui nani amenitukana mtandaoni. Hata tupewe miaka milion moja tutakua hivihivi

Sema nitakuwa hivi hivi usiseme tutakuwa hivi hivi.Unachokisema kiwe kina kuwa.Sitaki mimi na kizazi changu kuwa sehemu ya wasiobadilika.Tanzania itabadilika kwa kasi ya kuwashangaza wasio amini.
 
Usisema Tanzania itabadilika, sema wewe na kizazi chako!
 
Ngoja tusubiri tufike miaka 500
Wewe Binafsi unafanya nini katika kujiletea maendeleo na nchi kwa ujumla, usitegemee kuwa kuna mtu/watu watakuletea maendeleo yako binafsi, ndio maana barabara na miundo mbinu mingine inaimarishwa ili itumiwe na mtu mmoja mmoja kujiletea maendeleo kadri anavyoona inafaa. Kama unategemea maendeleo yako binafsi kutoka Serikalini, tutasubiri hata 1000 baada ya uhuru, hata Ulaya na Marekani kuna watu ambao hawatumii fursa zilizopo, bado masikini wapo.
 
Ni maendeleo ya aina gani unayomaanisha? Maendeleo ya kuzidi kuimarisha dunia badala ya kujihimarishia ahera!?

Babu yako aliyemzaa babu yako kizaa baba yako uliwahi kumwona?
Enzi ya uhai wake alikuwa na malengo ya kutimiza mengi zaidi katika maisha yake, lakini hadi anazeeka mpaka kifo kinamfika hata robo yake ya hayo alokuwa amelenga kufanya bado hakuwahi kuyafikia.

Umezaliwa duniani, umesoma dunia, umechuma dunia, umeoa duniani, mpaka unakufa anahangaikia dunia tu!!!

Zingatia kwamba kadili unavyotumia mda mwingi kuijenga dunia, hakika hutokuwa na mda tena wa kuimarisha ahera.
Ahera unaijua wewe au umekariri tu !!! Nani alisharudi kutoka huko akakukwambia jinsi kulivyo ??? Niambie ni kitabu gani Biblia au Quran kinchohimiza watu kutofanya kazi za kujiletea maendeleo katika siku za maisha yao hapa duniani.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom