Wakati wenzetu wa ulaya wanaungana Tanzania tunapanda basi ya ubaguzi wa vyama vya siasa

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,740
2,000
Wakati ulaya wanaungana,sisi watanzania tunapanda basi la ubaguzi wa vyama vya siasa
Mwl,Nyerere alipata kusema nchi changa kama Tanzania haitakiwi mtu wa kutingisha umoja wetu Kwa ubaguzi wa ukabila,kisiasa na kidini,lkn ukitazama Kwa jicho la mbali,utaona kama kuna baadhi ya watanzania wameanza kutikisa umoja wetu Kwa ubaguzi wa kisiasa,ccm wanajiona Kama wao ni watu wa daraja la kwanza,na Ccm wanawaona wafuasi wa upinzani na vyama vyao ni watu wa daraja la pili,hili linajitokeza kwenye ajira, biashara na kadhalika,hakika nawaambia Kwa mujibu wa mwl,nyerere hasitokee mtu hata mmoja wetu akafanya dhambi ya ubaguzi,kinachoshangaza zaidi wanaofanya dhambi ya ubaguzi ni viongozi ambao wamepewa mamlaka,na dhamana ya kutuongoza ee mungu tuepushie mbali na janga hili
Muda utasema kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom