Mali za DRC Congo zinawasaidia sana. Siku DRC watakapojitambua Rwanda wataadhirika!Rwanda wanapata hasara tu ,hamna faida yeyote wamepata pamoja na kuwa na hizo Airbus , Embu refer kwenye business trend 2010-2015, Big up Bombardier!!
Business trend
RwandAir has been loss-making for a number of years. Detailed accounts do not appear to have been published, with only a few public announcements from senior management or the government giving details of the scale of the operation; available trends are shown below (as at year ending 31 December):
2010 2011 2012 2013 2014 2015
Turnover (FRw bn) 30
Turnover (US$ m) 47.2 81.4 100.7
Net Profits/Losses after tax (FRw bn) loss loss loss loss loss loss
Net Profits/Losses after tax (US$ m) loss loss loss loss loss loss
Subsidies received (FRw bn) 10.8[16] 25.2[17] 22.0[18] 27.0[19] 29.1[20] 33.6[21]
Number of employees (at year end) 749 n/a
Number of passengers (m) 0.13 0.20 0.36 0.41 0.50 0.60
Passenger load factor (%) 60
Number of aircraft (at year end) 8
The amount of loss n debt KQ runs on is equivalent to having no aircraft of its own.
View attachment 445272
Good. You can do much better than this.Afadhali a giant company making a loss than buying this for an airline....
Nchi ndogo haina vyanzo vya mapato lakini inafanya vizuri, Tz kubwa mali kibao na hazisaidii nchi.Tz uwezi kulinganisha na Rwanda kabisa hata wanunue Airbus A380 kumi , bajeti ya jiji la Arusha tuu ni sawa na bajeti nzima ya Nchi ya Rwanda kwa Mwaka .Rwanda ni Kigali tuu lakini toka nenda nje ya Kigali ndio utajua zaidi hiyo Nchi hipo vipi
Vipi za Tanzania zinawasaidia kina nani?Mali za DRC Congo zinawasaidia sana. Siku DRC watakapojitambua Rwanda wataadhirika!
Hebu mtoe Kagame kwenye equation uone nini kinabaki huko nyuma.Nchi ndogo haina vyanzo vya mapato lakini inafanya vizuri, Tz kubwa mali kibao na hazisaidii nchi.
Nyinyi bado mnalala.. No one will wake you up
wewe ulitaka zinunuliwe airbus au izo boeng 787 dreamliner ili zifanye safari za dar kwenda kigoma au dar mwanza? yani hujui unachoongea halafu pia hujui hata kinachoendelea nchini mwako, kama huna poit ya kuingea sio lazma uongee.Wale washauri walimwambia walianza na panga boy ndio watapata ela ya jet.
Only in Kenya
Ni pale loss making KQ inapojilinganisha na Rwandair!
The amount of minerals tanzania has is equivalent to surpassing SingaporeThe amount of loss n debt KQ runs on is equivalent to having no aircraft of its own.
Master wao OmanVipi za Tanzania zinawasaidia kina nani?