una akili wewe??Kupanda madaraja maana yake Ni kuongeza gharama kwa upande wa serikali. Lazima kuwa na mafungu ya kutosha kulipa . jiulize sehemu yako ya kazi umebadili Nini na mabadiliko gani umefanya kwa taifa lako ili upande daraja na serikali ione umuhimu wa kuongeza gharama kwa upande wako.#team JPM
82% ya wafanyakazi nchi hii ni walimu kwa hiyo lazima uone ni mwalimu tuu analalamika
Ninafikiri hata wahitimu wa fani ya ualimu masomo ya sanaa hawapaswi kutengana na azimio la watumishi.Tangu mwaka 2015 hadi hawa wanaotarajia kuhitimu mwakahuu wanaisoma vilivyo ile namba ya wanyongaji.Umoja,ufahamu,kujitambua,kujitoa mhanga na mshikamano ndizo nyenzo.Tatizo la hawa watu,wengi ni wabinafsi na hawajitambui kiasi cha kuona kuwa wanayoyapitia hayana sababu zozote za kutokea badala yake ni roho mbaya,matumizi mabaya ya madaraka, na ubaguzi wa wazi.
Pasua kichwaWenye uelewa na hizi taratibu tusaidieni na sisi tuelewe.
Inakuwaje Halmashauri zingine zinaendelea kupandisha watumishi wake hadi wameanza wa 2014 baada ya kumaliza wa 2012 na 2013 lakini Halmashauri zingine hazipandishi? Kuna halmashauri hata wa 2012 hawajapandisha hata mmoja, hizi zinahudumiwa na serikali za nchi jirani?