Wakati watu wanamkejeli Baba Levo, yeye aendelea kulamba madili ya ubalozi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,522
7,368
Wakati watu wanaendelea kumpiga vijembe Baba Levo na kumuita majina ya ovyo. Yeye anageuza kejeli na matusi kuwa pesa.

Amesaini dili mpya tena leo, wale wajuzi wa kila kitu mnaojua kufanya uchambuzi mje mtuambie kwa nini kelele za Baba Levo zinaleta pesa, ila wale waliotulia na kufanya muziki mzuri wanakufa njaa.

IMG_20210416_180130.jpg
 
Hujui Mabillion ya pesa yanapotea kila siku kwenye marketing?

Ni kama hivyo yaani

Ukifikiria kuhusu baba levo, kitu gani cha kwanza kinakuja kichwani?

Hicho kilichokuja ndo alipaswa akitangaze sio hiki
 
Jamaa ni popular sana kwa sasa na makampuni huhitaji sana mtu anaye-trend bora asiwe ana-trend kwa kashfa za kudhalilisha.

People love him,people hate him lakini kikubwa wengu wanamfuatilia hasa haters, ndiyo maana haters huitwa 'fans in denial'.

Pia kuna connection ya wasafi, lazima wambebe sana kwani ana faida kubwa hasa kipindi cha sekeseke nadhani amekomazwa na mikikimikiki ya vita na hujuma za kisiasa japo alikuwa mwanasiasa kwenye level ya chini.

Hizi mbilinge za Chinga na Malafyale amekuwa nguzo sana kwa Malafyale hata majibu yake kwenye interviews utaona anavyo spin situations, kaitwa polisi badala ya kuweweseka ndiyo kwanza amasema hataki tena majadiliano anataka twimbwili hili lifikishwe mbele ya pilato hivyo hayo yote WCB wanayaona na wanaona umuhimu wake so inaweza ikawa inawafanya wampe backup ya mchongo wowote pale inapohitajika.

Na nyingine nadhani ni ujanja wake binafsi wa kutafuta michongo-hili nalipa nafasi kubwa sana.
 
Maskini pole kwa rayvan miaka yote hio ndani ya wachafu koge hana hata ubalozi wa pipi
Nafahamu kuna watu walishawafata wasafi kwa ajili ya kutangaza biashara yao na Rayvanny, walitaka million 200 wakapelekana sana wasafi wakakomaa na million 160 jamaa wakashindwa wakaenda kwa dada mmoja mwanamziki akachukua deal kwa million 60.
 
Duh huyo dada atakua ni nandy maana wanavyomchukia sio bure bure.
Nafahamu kuna watu walishawafata wasafi kwa ajili ya kutangaza biashara yao na Rayvanny, walitaka million 200 wakapelekana sana wasafi wakakomaa na million 160 jamaa wakashindwa wakaenda kwa dada mmoja mwanamziki akachukua deal kwa million 60.
 
Tangu aseme angemzalia D'mond watoto nilishamshusha thamani pimbi huyu.

Dume zima unawaza;
Kuvua nguo
Kupigwa mashine
Kupigwa mashine kavu kavu
Ukapigwa doggy
Ukamwagiwa ndani
Ukiwa siku za hatari
Unapata mimba
Unaenda labor unazaa
Unalea mtoto wa kwanza, then process inajirudia unazaa tena.

Shubhaamiti, huyu ni pisi kali tu
 
Maisha yake ni alhamdullilah sio yule Baba Levo anaeshinda Sinza anabeti.

Wewe umemshusha thamani makampuni yanaona thamani yake kila leo.
 
Huyu jamaa n vle watu wanachukulia utan wake kama ndo maisha yake, lakin ukimfatilia vzuri baba levo kila anachofanya ni kwa sababu
Nmemfatilia huyu jamaa kwenye kipindi cha mgahawa nje ya utani wake kunakitu unaweza jifunza kutokana na utani wake, na latika hayo masihara jamaa anakula maisha.

Mkumbuke hajaaanza leo, ashawai pewa segment pale clouds kupitia amplyfire ilikuwa inaitwa utani wa baba levo, so muacheni jamaa azidi kupata mashavu.
 
Cha ajabu mnyakyusa Hana hata Dili la kutangaza uji
Deal zinakuja Ila hawafiki bei , thaman ya vannboy ni kubwa Sana jombii , lile deal la mzikii la billion 11 Vannboy amelamba 1.9billion cash mfukoni, ukitoa charges zote kuanzia Kodi mpak share ya managent, hyo hela wewe hapo utauza mpunga wa kahama to Arusha mpak unakufa Ila hutaipata labda Mungu aingilie Kati

Collabo zake sa hv analiliwa na watu wazito sio hao waganga wa Congo
IMG_20210417_235044.jpg
 
aibu nimeona mimi
sasa hizo kampuni wanamuchukua mpaka diamond sababu rayvanny ana gharama?
hakuna chakusingizia hana hata dili la kutangaza kondomu
huyo international yaani anatoka hawaii?
chawa mna tabu sana
wewe hizo billion unazo?
 
Deal zinakuja Ila hawafiki bei , thaman ya vannboy ni kubwa Sana jombii , lile deal la mzikii la billion 11 Vannboy amelamba 1.9billion cash mfukoni, ukitoa charges zote kuanzia Kodi mpak share ya managent, hyo hela wewe hapo utauza mpunga wa kahama to Arusha mpak unakufa Ila hutaipata labda Mungu aingilie Kati

Collabo zake sa hv analiliwa na watu wazito sio hao waganga wa Congo
View attachment 1755665

Aisee chawa mnakula kwa aibu sana, sema ndo basi tena mtafanyaje!!
 
Deal zinakuja Ila hawafiki bei , thaman ya vannboy ni kubwa Sana jombii , lile deal la mzikii la billion 11 Vannboy amelamba 1.9billion cash mfukoni, ukitoa charges zote kuanzia Kodi mpak share ya managent, hyo hela wewe hapo utauza mpunga wa kahama to Arusha mpak unakufa Ila hutaipata labda Mungu aingilie Kati

Collabo zake sa hv analiliwa na watu wazito sio hao waganga wa Congo
View attachment 1755665
We nawe uwe unajiongeza ndugu hata Kama kumtetea ili upate ugali haiko hivi hivi kwa maisha ya msanii wako akatae hata dili la 60 mil mue mnaacha uongo sisi wengine Hawa wasanii tunawajua maisha yao nje usanii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom