Wakati watanzania tunafanya tu mzaha na katiba,Ulaya wafanikiwa kurusha chombo kutua kwenye comets

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,325
719
Ni jambo tofauti kidogo huku wote tukiwa wanadamu tu,wenzetu hawana utani na maisha yao hadi wanafanikiwa kurusha chombo anga za juu sana kiasi cha mile bilion 6,kinatua leo baada ya kusafiri miaka kadhaa.

Wenzetu hawako katika enzi za kufoge mambo ili kundi fulani liendelee kukaa madarakani.Wako makini kuinua maisha yao.ukiona watu wanatumia akili kutaka katiba iwapendelee wao tu wabakie wanazunguka wenyewe madarakani,hapo hakuna maendeleo ya kutarajiwa.

Ni bahati mbaya sana hakuna wa kufikiri kuinua maisha ya jamii kwa ujumla,walio madarakani mawazo yao ni kuwaza nani jamaa yetu awe kiongozi bila kujali ana uwezo na maslahi kwa umma kwa ujumla,inasikitisha!
 
Unazungumzia masuala ya kurusha vyombo hadi anga za juu sana, wakati hatuwezi hata kufanya upasuaji na kutibu matezi dume hadi tuyapelekea India na Marekani!!! Miili tunaonekana kama binadamu wengine wa karne ya 21 lakini kiakili na kifikira tunaishi karne ya 11 kama sio old stone age!!!
 
mkuu huo ni ukweli,lakini uta shangaa mtu mzima anasema mambo yanaenda vizuri tu,wakati wanaibatu fedha za umma kama hayo masakata yaliyoko bungeni sasa.
 
Haya ndo wanayaweza tu! Na ndo maana magogoni wazee wanapishana wakitokea kila kona hapa Nchini..
 
Attachments

  • 1415801187376.jpg
    1415801187376.jpg
    61.5 KB · Views: 179
Haya ndo wanayaweza tu! Na ndo maana magogoni wazee wanapishana wakitokea kila kona hapa Nchini..
kweli mkuu,ukiona watu wanawaza tu kugawana kilichopo,bila kufikiri kuzalisha cha kesho,wanapaswa kuogopwa kama ukoma
 
unazungumzia masuala ya kurusha vyombo hadi anga za juu sana, wakati hatuwezi hata kufanya upasuaji na kutibu matezi dume hadi tuyapelekea india na marekani!!! Miili tunaonekana kama binadamu wengine wa karne ya 21 lakini kiakili na kifikira tunaishi karne ya 11 kama sio old stone age!!!

wewe vipi bana ??

Ungo ukipata landing permit unafika kwenye comet yoyote na kurudi earth papo hapo.eeh?
 
Back
Top Bottom