Elections 2015 Wakati wakiwa hawana uhakika Dodoma, UKAWA wajipanga Dar es Salaam

Hao ndio ahueni yetu CCM, kwani wakisimamishwa tutapata a landslide win.

Lakini wakimsimamisha Makaidi basi itakuwa vigumu sana CCM kushinda!

Mkuu, hapo umemvua nguo. Itabidi achutame kama akili yake bado ina kilobytes kadhaa
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom