Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Mpinzani anapatikana jumapili
KUB wao atakuwa silinde teh teh
Mpinzani anapatikana jumapili
Mimi nashauri ukawa wasimweke dr slaa.Naamini kuna wagombea wengi wenye nia sio slaa au lupumba kila mara
Bado najiuliza hivi CCM wakianguka itakuwa mgombea wao ndiye atakuwa mwenyekiti au mwenyekiti wa sasa ataendelea mpaka watakapofanya uchaguzi mkuu wao 2017?! na je muundo wa CC ya CCM utakuwaje ukizingatia katiba yao ya sasa kuwataja baadhi ya wajumbe kwa vyeo vyao vya kiserikali kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais n.k ?Huyo ni mwenyekiti wenu wa magamba!!! Mwaka huu mnaishia kumchagua mwenyekiti wa magamaba na siyo Rais wa Tanzania. Ngoma nzito mwaka huu siyo rahisi kama mlivyozoea!!
Naona Bavicha mnajifurahisha...Rais ana patikana Dodoma jumapili!
Huyo Mungu ndiyo kaamua Chadema kiwe chama cha upinzani.Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
Macho ya wengi ni Dodoma, Rais anapatikana jumapili.