Elections 2015 Wakati wakiwa hawana uhakika Dodoma, UKAWA wajipanga Dar es Salaam

Kwa mara ya kwanza ccm mwaka huu itakuwa na mshiriki wa kuwania urais. Jakaya Kikwete. Hii timu tunasubiri mtuleletee mtu anayekubalika na watu, kwenye sifa na uwezo .msije mkamleta mtu kwa sababu tu anapesa Kama lowassa wazee tutaumia Sana.
 
Mkuu hiyo picha ni uwongo prof Lipumba mpaka sasa yupo kwenye ziara na Leo alikuwa Kazuramimba mkoani kigoma Jimbo la kigoma kusini
 
Mimi nashauri ukawa wasimweke dr slaa.Naamini kuna wagombea wengi wenye nia sio slaa au lupumba kila mara
 
Kwa kujipa matumaini hilo nawapa shavu ila ukweli utadhihili kwa kile mlichopanda ndicho mtakachovuna
 
Huyo ni mwenyekiti wenu wa magamba!!! Mwaka huu mnaishia kumchagua mwenyekiti wa magamaba na siyo Rais wa Tanzania. Ngoma nzito mwaka huu siyo rahisi kama mlivyozoea!!
Bado najiuliza hivi CCM wakianguka itakuwa mgombea wao ndiye atakuwa mwenyekiti au mwenyekiti wa sasa ataendelea mpaka watakapofanya uchaguzi mkuu wao 2017?! na je muundo wa CC ya CCM utakuwaje ukizingatia katiba yao ya sasa kuwataja baadhi ya wajumbe kwa vyeo vyao vya kiserikali kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais n.k ?
 
Hii ndiyo UKAWA bana...

attachment.php

 
Yanakaribia kutimia.......vijana na wazee tuhamasishane siku ya kupiga kura. Kwa ambao bado hamnajiandikisha hakikisheni mnazo shahada zetu mkononi.
 
Mimi nashauri ukawa wasimweke dr slaa.Naamini kuna wagombea wengi wenye nia sio slaa au lupumba kila mara

Hao ndio ahueni yetu CCM, kwani wakisimamishwa tutapata a landslide win.

Lakini wakimsimamisha Makaidi basi itakuwa vigumu sana CCM kushinda!
 
Kuna tofauti kati ya chama kinachojiendesha kidemokrasia (CCM) na kampuni (Chadema).
 
Back
Top Bottom