Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
Naona Bavicha mnajifurahisha...Rais ana patikana Dodoma jumapili!
Labda hawa kiongozi wamafisadi
Naona Bavicha mnajifurahisha...Rais ana patikana Dodoma jumapili!
Naona Bavicha mnajifurahisha...Rais ana patikana Dodoma jumapili!
Huyo ni mwenyekiti wenu wa magamba!!! Mwaka huu mnaishia kumchagua mwenyekiti wa magamaba na siyo Rais wa Tanzania. Ngoma nzito mwaka huu siyo rahisi kama mlivyozoea!!
acheni ccm wagawane mbawa watashtuka ukawa wamemaliza kila kitu
Sitaki kusikia sijui nani kapita bila.kupingwa wa ccm
Vijana wapo wa kutosha wapewa hii nchi na.kila jimbo na kata ukawa wekeni wagombea smart!!!
Macho ya wengi ni Dodoma, Rais anapatikana jumapili.