Elections 2015 Wakati wakiwa hawana uhakika Dodoma, UKAWA wajipanga Dar es Salaam

Tumechoka kuwa na Marais ubwabwa toka sisiem. UKAWA plz chukua nchi 2015. Flyover Tazara wameshindwa kujenga lakini Escrow, EPA, etc ni mafundi kweli kweli! Ondoa bwabwa hii.
 
Ndio nchi hii itakombolewa na UKAWA. Kwa sasa Dar na Pwani ni wakati muafaka wa kujiandika kwenye BVR halafu tukapige kura na sie tuwe sehemu ya mabadiliko ktk nchi yetu
 
Tusipoondoa bwabwa hii 2015 mchina atakuwa mume wetu! Ameuziwa nchi hii tayari. UKAWA shika nchi tuikomboe na sisi tuwe na fast trains.
 
attachment.php
 
Umeona wapi duniani mswada mzito kama wa gesi na mafuta unapita kwa NDIYOOOOO ya kipuuzi ya masaa!!! Mchina kampa uprofesa kaka mkuu, sasa nchi na gesi yote kapewa kwa NDIYOOOOO. Acha nikajinyonge nisiwe sehemu ya uchenzi huu. By TZ. See you kuzimu.
 
Maswali magumu haya hapa: Kama ccm kupitia tume watanzania wameachwa bila kundikishwa nini kifanyike?


Ukawa ikishinda akatangazwa mshindi wa ccm ktk majimbo na urais nini kifanyike? Ccm walishazoea aina hii ya ushindi.....


Ccm hawako tayari kuachia nchi hii kwa amani. Nilisikia IGP anaongea kukutana na viongozi wa vyama....muulizeni maswzli hayo...mpeni mpango B.....mahakamani hatuendi....waende wao this time aroundi.....hawatafanya mambo kipuuzi...kama wanavyofanya bungeni...watumie jeshi la polisi kutangaza,matokeo hati tuwaachie kwa woga wa amani...sote ni wadau wa amani...wakivuruga ijulikane wamevuruga wao.
 
safii sana safii sana ukawa.Dodoma kimeishanuka lowasa na Jk wametwangana makofi.ccm inaungua
 
Mungu abariki mipango yote ya UKAWA ili ufalme wa ccm tuufute kabisa ktk Viti vya udiwani, ubunge na Urais
 
Sitaki kusikia sijui nani kapita bila.kupingwa wa ccm
Vijana wapo wa kutosha wapewa hii nchi na.kila jimbo na kata ukawa wekeni wagombea smart!!!

Subiri waje wenye ccm yao kutoka lumumba na matusi yao
 
Back
Top Bottom