GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,847
Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka.
Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia hadi 'perfomance' yao Uwanjani ila sikueleweka.
Huku Yanga SC kupitia Injinia Hersi Said wa GSM mpaka Mashabiki wa Yanga SC wakitamba ( wakijimwambafai ) kuwa Wamemsajili Beki wa AS Vita Djuma kwa Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania Nahodha wao na Beki Mahiri ( Tegemezi ) Lamine Moro ameandika Barua ya Kuomba 'Kusitisha' Mkataba wake na Yanga SC kwa Kuchoshwa na Deni la Pesa zake za Usajili anazowadai na Kutompa Mshahara wa takribani Miezi Miwili.
Tukiwa tunawasemeni msiwe mnabisha.