Wakati wa Utawala wa Mobutu huyu mzee alikuwa mtu wake wa karibu sana

Tunamsingizia Mungu kwa uzembe wetu tu.
Mzee alitumia vibaya hakuwekeza na Sasa anaishi kadri alivyojiandaa akiwa na kitu.

Huyu ni mzembe tu vinginevyo angekuwa na asset za kumuingizia pesa ya kula, kunywa na kuishi maisha ya kutokuwa ombaomba hadi kifo.
Hivi mkuu kweli unase 10bl kisha miaka 30 au 40 mbele uwe masikini?

Hata nyumba ya kuishi huna?

Unamsingiziaje Mungu hapo?

Tia 200ml ktk ujenzi wa nyumba yako.

Tia 5bl fixed akaunt ktk bank mbalimbali.

Inayobaki tafuta cha kufanya, toa hata milioni 100 ununue daladala zikuingizie pesa ya kula tu na kunywa, huku bado bank muamala unaleta marejesho.

Fungua lodge, frame, apartments n.k

Waafrika akili hatuna.
 
Ukinasa bilioni kumi hana haja ya kufanya kazi, we zaa mtoto mmoja tu kisha muanze kuila hiyo hela kila siku kuleni laki 2,elimu si bure, kwa mwaka mnatumia million Milioni 72,
 
Hivi mkuu kweli unase 10bl kisha miaka 30 au 40 mbele uwe masikini?

Hata nyumba ya kuishi huna?

Unamsingiziaje Mungu hapo?

Tia 200ml ktk ujenzi wa nyumba yako.

Tia 5bl fixed akaunt ktk bank mbalimbali.

Inayobaki tafuta cha kufanya, toa hata milioni 100 ununue daladala zikuingizie pesa ya kula tu na kunywa, huku bado bank muamala unaleta marejesho.

Fungua lodge, frame, apartments n.k

Waafrika akili hatuna.
Ni rahisi tu kuyasema; ila maisha yakichanganya huwaga yanabadilisha rangi
 
Ni rahisi tu kuyasema; ila maisha yakichanganya huwaga yanabadilisha rangi
Mimi nasema hivi, ni kweli kuna mambo ya kiroho yanaweza yakaingiliana ila sio kwa sehemu kubwa kama tunavyodhani.

Nimetolea mfano hapo, mtu unapata fedha hizo, unashindwaje kuwa hata na nyumba ya vyumba vitatu?

Huyo jamaa kweli wa kuishi maisha hayo?
 
Kwani unaishi Sayari ya You-Peter????
 
Kweli kabisa, Chama gani kilikuwa kinaongoza huko nyuma vile?

Kile chama Hayati Mugabe alichokisifia kwa umadhubuti na kwa misimamo yake isiyo yumba. Na akamwambia Obama aje atamuoa kuwa mke wake kama anatetea ushoga.
 
====
Salamu wakuu, naomba kujua wasifu Colonel Alphonse Bangala anayesemwa alijaribu kufanya mapinduzi nchini Zaire na kusababisha kunyongwa kwa mawaziri wanne mwaka 1966, mwezi Mei, siku ya thelathini.
 
Watu wengine sijui pesa wanaichukuliaje, unakuta mtu anamiliki 1bilion kisha baada ya miaka 10 au 20 anafirisika.

Huu ni upuuzi, akili ni ndogo kabisa bii. Huyu mzee kabla hatujafika kwa Mungu ila na yeye pia akili hana.

Utajiri wa Mobutu ulikuwa ni mkubwa mno, bila shaka huyu mzee na yeye hata 10bilion zilikuwa hazimpigi chenga.
Ukiwa na pesa nyingi matumizi ni makubwa pia unakuta mtu ana drive magari ya gharama parts zake expensive, kitu inatumia mafuta Kama inapuliza, wapambe kibao ,watoto wanasoma shule za gharama, wanawake kibao wote uwahudumie mbaya zaidi pesa anayopata ni ya kupewa hajui inapatikana vipi hapo ni rahisi sana kufulia
 
Back
Top Bottom