TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,330
- 8,421
Habari Wana Jamiiforums
Moja kwa moja twende kwenye mada nyakati za usiku mwingi Yani saa 6 saa 7 hv kikawaida huwa ndio muda wangu wakujipumzisha baada ya kumaliza shunguli zangu zakila siku.
Kuna Hali hunitokea yakujiongelesha mwenyewe bila Mimi kuelewa hii Hali hajitokeza kwasababu zipi unakuta Kuna vitu vinatawala ubongo wangu wakati huo hii hali naichkia sana yani ninakua kama kichaa hivi nashindwa kuji-control.
Muda mwingi hunitokea mawazo hasi kila mtu namuhisi hanipendi kila mtu namuona niadui yangu.
Mara chache sana mawazo chanya ndio yananijiaa.
Hii Hali inatokana nanini wakuu?
Mshana Jr