Wakati wa spk. Anna Makinda kuonyesha sura yake halisi umekaribia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati wa spk. Anna Makinda kuonyesha sura yake halisi umekaribia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by King Suleiman, Jan 29, 2011.

 1. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Salaam kwenu wana Jamvi,
  Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekaribia kuanza mwezi february wiki chache zijazo.

  hamu yangu kuu ni kuona sura halisi ya spk Anna Makinda katika mustakabali wa taifa letu pendwa Tanzania, hapa ndio sura halisi ya huyu mwana mama tutaiona.

  Sura yake ya kwanza ni kuona kama atakuwa kibaraka wa mafisadi na kutetea maslahi yao kwa kutuaminisha tulio wengi kwamba kawekwa na hao mabosi kwa maslahi yao, Au

  Sura yake ya pili, atakkuwa mtetezi wa maslahi ya taifa kwa kusimamia kanuni vizuri na kuruhusu mijadala moto moto kwa maslahi ya nchi kama katiba mpya, mikataba mibovu na mengineyo.

  mimi binafsi napenda avae sura hii ya pili ya mtetezi wa maslahi ya taifa. Lakini je Anna yupo tayari kwa hili na kuwa na ujasiri wa kuthubutu na kuwakemea mabosi zake?
  tusubiri tuone, bunge hiloooooo linakuja.
   
 2. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Hofu yangu, asije akatuimia jazba na kushindwa kuliendesha bunge vizuri. Hakika hekima inahitajika toka kwa huyu mama ili ufanisi uwe wa hali ya juu.
   
 3. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sidhani kama Mh. Anna Makinda ana chembe ya busara ndani yake,naamini kama ataendelea kutokuwa na busara tunaweza kushuhudia makonde ndani ya bunge.naomba mungu aepushe vurugu na rabsha katika bunge lijalo.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,773
  Likes Received: 83,114
  Trophy Points: 280
  Miye nakubaliana nawe, labda haya yaliyotokea Tunisia na Misri yawaogopeshe na kuamua kubadilika na hivyo kuliacha Bunge lifanye kazi zake bila kuingiliwa na spika, Waziri Mkuu au Rais, vinginevyo kutakuwa na usanii wa kutisha.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Yangu macho na masikio to me ni mvinyo mpya ndani ya chupa kuu
   
 6. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  mkuu Njowepo umenifurahisha, but nitafurahi zaidi kama utanifafanulia methali yako ya mvinyo mpya ndani ya chupa kuu.. Una maanisha nini? Pls ndg yangu do the needfull...
   
 7. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  babu hapa kwetu hawana concern na external environment wenyewe wapo tu kujinufaisha so, usishangae hawa wakiwa na furaha kabisa kunyonya wenzao, nguvu kubwa ya uma tunaihitaji.
   
 8. n

  niweze JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wengi tunajua kitu kimoja, Makinda kawekwa kuwa Spika kwa sababu maalumu za Rostam Aziz na JK/Pinda. Kwanini wananchi wanategemea kuwalinda katika kuchunguza chama chao? Watu wawili mpaka sasa wameonekana wanagut kuuliza maswali ndani ya chama na serikali yao ni Mwakyembe na Sitta. Hiki chama ni ugonjwa ambao hautibiki. Kuna tofauti kubwa kati ya CCM na Wananchi, Katiba ya CCM inasisitiza bunge kama chombo cha kukubaliana na mipango yoyote ya chama chao. Ukweli kutoka kwa wananchi na hasa Nchi zilizoendelea na zinazoendelea Bunge ni chombo cha Check and Balance. How do we get here to the reality without new constitution? Let's not fool ourselves CCM is willing to go for New Constitution and let the people get in charge to all crimes they had committed. Tunakuwa so naive that Makinda is willing to investigate JK na Rostam, this isn't going to happen never and never. The same Makinda as leader of Bunge, Wabunge wamepigwa Arusha hawa ni wabunge wa Bunge la Taifa na wamekuwa harassed na polisi-wahuni, tumesikia chochote kutoka mdomoni kwake? Ilikuwa wakati wa kama kiongozi na kuwa neutral, just makind a statement of Bunge-solidarity was good start...she is just another fisadi in CCM
   
 9. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  receive my thanks, umenena mkuu maana check and balance kwa bunge letu haipo, ukionekana wewe unatetea taifa na sio ccm basi ujue watakupiga fitina kukuondoa kwenye position yakio kama ilivyokuwa kwa sita. Eee Mungu tuokoe taifa hili dogo
   
Loading...