Hiyo habari si ya kweli. Idadi ya wafungwa waliopo katika nchi zenye kutumia Secular System ni kubwa zaidi kuliko ktk Sharia law. Jambo jingine nchi zinazotumia mfumo huo zinamaovu (rushwa, ukandamizaji) zaidi kuliko nchi za Sharia Law.
Hiyo bold naweza kukubali japo sina uhakika sana, ila the difference ni kuwa huku kwenye secular world watu wapo hai ingawa wapo vifungoni ila hawa jamaa wa kwenye sheria law ambao wangekuwa kifungoni wameuawa tena kikatili.
Please dont ever think bringing this calamity anywhere near this country.