Wakati Wa Sharia Law Umefika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati Wa Sharia Law Umefika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Haki, Oct 7, 2010.

 1. H

  Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wa uchagazi mkuu unakaribia, kuna wananchi wengi ambao wameokana kutojua muelekeo wa nchi. Lakini kuna hope moja, SHARIA LAW.

  Wananchi wa Tanzania, huu ndiyo wakati wa kupigia kura chama ambacho kitakuwa na Sharia Law. Sera za Sharia law ni muhimu kwa Taifa letu. Maisha ya Mtanzania yatakuwa bora zaidi kuliko haya tuliyokuwa nayo. Viongozi wote wa sasa hivi wamejaa RUSHWA, WIZI, na UDICTETA. SHARIA LAW inapromote equality kwa watu wote bila ya kujali kabila zao, wala dini zao.

  SHARIA LAW inahukumu watu wote wale ambao wanatumia madaraka kuwakandamiza binadamu wenzao. Kumbuka kwamba, SHARIA LAW, haikupangwa, au kutengenezwa na binadamu, ila Muumba wetu (Mwenyezi Mungu) ndiye aliyetupangia tuifuate hii SHARIA LAW.

  Jiulize swali hili: Katiba ya Nchi imetengenezwa na CCM ambao ni Watu Wachache wasiokuwa na Vigezo vya kuwa Viongozi VS SHARIA LAW kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

  Swali:Ipi ni bora CCM au Mwenyezi Mungu?
  Jibu: Mwenyezi Mungu SHARIA LAW
   
 2. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa barazani watu CCM wameichoka ile mbaya.... lakini kwa hii habari uliyoileta wako tayari wabaki na CCM yao... kama huamini we ngoja responses...

  Niko kona ile paleeee! mwambie huyo kijana aniletee kahawa achanganye na tangawizi kidogo...
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hii mada ulioanzisha uwe tayari kupokea majibu...! USIANZE KULALAMIKA..!

  KARIBU..!
  usubiri majibu yako..!
   
 4. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hatutaki udini na ukabila...ondoa kabisa upumbavu wako hapa.
   
 5. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe mwenyewe hiyo sharia law unaisema tu. Lakini kama waipenda Hamia Sudan au Saudia japo kwa muda halafu uje utushawishi kuipokea au kuikataa. God bless you.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Haki,

  Una haki ya kusema kama jina lako lilivyo,kama sharia law ingekuwa nzuri mbona bado tunashuhudia maovu kibao Somalia,Nigeria na nchi kibao zinazotumia sharia law.Tanzania si nchi ya waislam pekee wapo wakristo na wasiokuwa na dini vipi watapata haki ?.
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Duh! Huko tena?!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Aisee, tuna hamu sana kuishi katika nchi ambayo ni corruption free, na ndiyo ndoto ya kila Mtanzania!
  Lakini kwa habari ya SHARIA-LAW hapa TZ, hapana!....TUTAKUWA TUMEUZA NCHI KWA MWARABU na UISLAMU...Na tukikubali Sharia tutakubali na UTUMWA ule wa zamani urudi!...Big NO broda, we cant consent this filthy law!
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,924
  Trophy Points: 280
  Kila dini ina sheria ambazo inaamini zimetoka kwa Mungu sasa kwa nini unaona ni sharia law tu na hutaki kuziona nyinginezo kama wewe siyo mdini? Marekani na maedeleo yao yote hufuata sheria alizopewa Mtume Musa na Mwenyezi Mungu huoni ya kuwa kama tunataka kufanana na Marekani tufuate Amri kumi za Mungu alizopewa Musa?
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Sharia law ikiwezekana kwa waislamu tu sina neno lakini itekelezwe misikitini nakwambia tutakuwa na vilema kibaoHaki ebu tia mguu Somalia wiki mbili uje utuhadithie
   
 11. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Nchi zenye sharia law zina maovu ya kutisha hasa mauaji!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hivi ni chama gani kati ya hivi vinavyoshiriki uchaguzi kina sera ya "Sharia Law" ili niwe makini Okt. 31.
   
 13. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Katiba ya umoja wa nchi za ki islamu barani Africa ambayo Tz ni mwanachama no 7 inaeleza moja ya mkakati wake wa kui
  ngiza sharia lawa katika mataifa ya Africa ni kugeuza vyama vya kitaifa vya siasa kuwa vyama vya kiislamu. Ndiyo maana unaona kwa udi na uvumba watu wanatafuta kukamilisha akidi ya viongozi wa kuchaguliwa watakaopiga kura kuikubali. Na kwal vile demokras ni utawala wa wengi viongozi wengi wa kuchaguliwa wakiunga mkono ina maana wananchi wote watakuwa wameunga mkono. Je mwana Jf wewe una semaje?
   
 14. H

  Haki JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo habari si ya kweli. Idadi ya wafungwa waliopo katika nchi zenye kutumia Secular System ni kubwa zaidi kuliko ktk Sharia law. Jambo jingine nchi zinazotumia mfumo huo zinamaovu (rushwa, ukandamizaji) zaidi kuliko nchi za Sharia Law.
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Sharia Law itakuwa biased na kama ikianzishwa hivi leo, wanaotakiwa kuwa wasimamizi ndio watakuwa wahanga wa kwanza wa sharia hiyo.
   
 16. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Haki anzisha nyumbani kwako na nduguzo,sie hayatuhusu atiiiiiii:A S 112:
   
 17. H

  Haki JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Somalia, na Nigeria bado hazitumii mfumo kamili wa Sharia law. Lakini, kumbuka Somalia walipoanza kufuata Sharia law, waliacha ukabila, na nchi ilianza kuwa na maendeleo. Lakini, mataifa ya nje special Marekani yakaanza kuupinga utawala wa Somalia.
  Ktk poll nyingi zilizofanywa ndani ya Somalia, Wasomali wengi wapo tayari kuongozwa na Sharia law. Since 9/11, Marekani inafanya juu na chini kuupinga Sharia law. Marekani wanasema kwamba baada ya kuiangusha Soviet system, sasa hivi jitihada zao zote zinaenda ktk kupinga Sharia Law ili isitumike duniani.
  Swali lako pili. Kumbuka Wakristo na Waislamu wote ni watu wanaofuata taratibu na sheria za dini. Kwa hiyo, Orthodox Christians wapo tayari kuishi ktk Sharia law; wengi wao hawapendi kufuata Secular law. Kumbuka, Sharia Law haikuletwa kwa Waislamu pekee yao, bali ni kwa ajili ya watu wote Duniani.
   
 18. H

  Haki JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Biased kivipi? Sharia law haikutungwa na binadamu. Imeletwa na Muumba wetu.
   
 19. H

  Haki JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Marekani haifuati Sharia za Mtume Musa AS. Pili, Marekani haina system nzuri ya kimaendeleo.
  Marekani na Nchi zote za Ulaya zimeagree kwamba CAPITALISM haina maendeleo ya muda mrefu. Uchumi wa Marekani ni mbovu sana sasa hivi. Gold iliyopo NY, haiwezi hata kidogo kulipa madeni ya Marekani. Sasa jiulize, kwa nini bado tunatumia dola? Long topic.

  Kwa mujibu wa some economists, Marekani ndiyo inaanza, ishaanza kuanguka Kiuchumi, Superpower. Ukiangalia hizo data za Marekani utajua kwamba Socialism ilishindwa, halafu sasa hivi Capitalism ndiyo inaanza kuanguka. Itabidi ujiulize, Je tufuate system gani? Jibu ni SHARIA LAW.
   
 20. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  sharia law my ass
   
Loading...