Wakati wa Nyerere ilikuwa ni marufuku kwa Watumishi wa Umma na wanaCCM kusema uwongo!

Mtueleze lile igizo la Royal Tour limegharimu kiasi gani..

We need vivid evidences otherwise shut your mouth.
Hata mi nashangaa hiyo Movie itatoka lini ya Royal Tour, siku kwenye movie producer anaingiza vipicha vya jikoni nyumbani kwake unamuona upaja wake au kifua kilichojazia ladha ya kukumbatia na vimacho vyake laini...We love you mama SSH
 
Picha ya mwisho: Na mabilioni yote bwana Lengai Ole Sanzuri anatumia Tecno camon X yenye fingerprint nyuma aaaah!!! UKOROFI HUO!
Utajiri wake kupitia ujambazi (kama mahakama ilivyothibitisha ni jambazi) aliupata mwaka huu Mkuu! Before alikuwa hajawa tajiri.
 
Back
Top Bottom