Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,733
- 239,337
Lengo la kwanza la kuanzishwa kwa chama chochote cha siasa ni kutwaa madaraka ya nchi yatakayowezesha chama husika kuboresha maisha ya wananchi wake , kwa kusimamia maendeleo yao kutokana na rasilimali zilizopo.
Imebainika na kuthibitishwa Dunia nzima kwamba , CCM kwa miaka yote ya uhai wake ilifanya kinyume na kuanzishwa kwake .
Kwa zaidi ya miaka 50 chama hicho KIMESIMAMIA KWA UKAMILIFU , TENA KWA MTUTU WA BUNDUKI UPORWAJI WA RASILIMALI ZA NCHI .
Ni wakati sasa wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa chini ya Jaji Mstaafu Francis Mutungi kukifutilia mbali chama hicho kwa Manufaa mapana ya Taifa.
Mungu ibariki Tanzania .