Nyamaninyama
Senior Member
- May 7, 2015
- 115
- 271
Hakika ni vitu vingi vinakuja kwenye kichwa cha mwanadamu unapowaza uelekeo wa Zanzibar.Je ni mara ngapi maamuzi ya upinzani yameizuia CCM kufanya wanalotaka?..
Kwa katiba mpya upinzani wanaweza kijiita washindi lakini kwa jicho langu la mwewe najua kwanini Kikwete hakusaini Rasimu ile..ni uchaguzi maana walijisaau na kupitisha kifungu cha kupinga matokeo mahakamani hivyo ingekuwa balaa kwao.
Turudi zanzibar,CCM wamefanya mazoezi na kushinda na sasa wanaunda Serikali uku viongozi wa CUF wakiwaambie watu watulie...watulie ili iweje?
Haki haisubiriwi bali inapambana kuitafuta na demokrasia ikishindwa udikteka uingia na leo sina budi kuiita Zanzibar kisiwa cha kidictator...wakati ndio huu na kama maamuzi magumu ambayo ipinzani umekuwa ukiubiri miaka yote ndio wakati wake wa kutuonyesha wananchi...Ni wakati wa maamuzi magumu...sijui wana jamvi mnaonaje?