Wakati wa kutumia ict kama nyenzo na silaha ya mafanikio ya kielimu na kijamii ni huu

Schoolbook

Member
Joined
Aug 31, 2011
Messages
27
Points
0

Schoolbook

Member
Joined Aug 31, 2011
27 0
TAFUTA SHULE BORA KWA AJIRI YA MWANAO
Tembelea Schoolbook Classic | Homepage or pofya hapa
Wakati wazazi wengi wanapoingiwa na wasiwasi ni vipi watoto wao watapata elimu bora ya kukidhi maisha yao. Swala linakuja ni shule gani nzuri yenye maadili mazuri kwa mwanangu au wanangu?. Basi tumekuletea mtandao wakijamii katika maswala mazima ya elimu, mtandao huu unakupa fulsa wewe mzazi au mlezi kupata kuzitambua shule mbalimbali na wasifu wake katika swala zima la elimu. Popote ilipo na popote ulipo utapata kuzijua shule na kufanya maamuzi yaliyona manufaa kwa watoto wako. Na hatakama wewe ni mmiliki wa shule utapata pia nafasi ya kutangaza shule yako iliijulikane kitaifa na kimataifa, na kupata wanafunzi wengi zaidi. Tembelea schoolbook leo ufurahiye matunda ya ICT mikononimwako.
 

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
1,918
Points
1,225

Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
1,918 1,225
Thread zako za Schoolbook tushazichoka sasa humu, unakuwa unafanya kitu kinachoitwa 'Spamming'. MODS naomba mliangalie hili
 

Forum statistics

Threads 1,390,254
Members 528,131
Posts 34,047,390
Top