Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Kifo cha Sharo kimeniuma, kutoka moyoni angefariki walau Kinana, Abraham kuliko huyu jamaa ambae alikuwa anatusogezea siku kwa cheko na kutusahaulisha matatizo japo kwa muda mfupi.
Najua angefariki Kinana, au hata Sophia Simba tungefanza maziko mamoja ya kitaifa afu tungekuwa tumeondokana na kero zao once and for all.
Roho imeniuma, na kuuma na kuuma! Sema ndo vile Mungu haulizwi...
#NoHardFeelings #